Wednesday, August 7, 2013

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO HPINDA AZUNGUMZA NA WATANZANIA LONDON

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na baadhi ya watumishi  wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London baada ya kuwawsili kwenye ubalozi huo kuzungumza na watanzania waishio Uingereza
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Watoto Tanzania nchini Uingereza uliopo London  kuzungumza na watanzania waishio Uingereza
 
 
0077,0080 na 0158 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa nchini Uingereza uliopo London tayari  kuzungumza na watanzania waishio Uingereza
 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  baadhi ya Watanzania waishio Uingereza  kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London Agosti 6,2013. Kushoto ni Mkewe Tunu.
Baadhi ya Waztanzania waishio London wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipozungumza  nao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini humo uliopo Londoni  
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na  Dr.Abdallah Saleh na Mohamed  na Mohame Ali Saleh  ambao walikuwa ni miongoni mwa Watanzania waishio Uingereza waoshiriki katika mkutano  ulioitishwa na Waziri Mkuu kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo London 
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika picha ya pamoja na badhi ya Uingereza  baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo London
 

No comments:

Post a Comment