Tuesday, March 27, 2012

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI KUANZIA TAREHE 25 MACHI HADI 07 APRILI, 2012 UKUMBI Na. 203: -OFISI NDOGO YA BUNGE: DAR ES SALAAM



TAREHE

SHUGHULI

MHUSIKA
25/03/2012
Jumapili

·         Kuwasili Dar es salaam
·         Wajumbe
26/03/2012
Jumatatu

§  Shughuli za Utawala
§  Kupitia ratiba na maelezo kuhusu Maandalizi ya shughuli zilizopangwa kutekelezwa
§  Wajumbe
§  Katibu

27/03/2012
Jumanne

§  Kupokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa SADC - PF na IPU [kwa  Mujibu wa Nyongeza ya Nane , Kifungu cha  9 (2)]

§  Wajumbe Wa SADC PF, IPU
§  Wajumbe

28/03/2012
Jumatano
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini  Kwa  kipindi cha Januari-Machi, 2012
§  Wajumbe
§  Waziri wa  Nchi  OR –Ikulu
29/03/2012
Alhamisi

§  Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini kwa kipindi cha Januari - Machi, 2012

§  Wajumbe
§  Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi
30/03/2012
Ijumaa

§  Kutembelea  Chuo cha Diplomasia Kurasini
§  Kutembelea Makao Makuu ya Uhamiaji

§  Waziri wa Mambo ya Nje
§  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
31/03/2012
Jumamosi

M  A  P  U  M  Z  I  K  O    Y   A     W   I   K   I


§  Wajumbe
01/04/2012
Jumapili

·         Kusafiri kwenda  Kilimanjaro  na Arusha
§  Wajumbe

02/04/2012
Jumatatu
§  Kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro
§  Kutembelea Chuo cha Polisi Moshi na Chuo cha Uhamiaji
§  Kutembelea Gereza la Karanga
§  Kusafiri kwenda Arusha
§  Mkuu wa Mkoa –Kilimanjaro
§  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
03/04/2012
Jumanne
§  Kusalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha
§  Kutembelea Mpaka wa Namanga
§  Kutembelea AICC na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa Majukumu ya AICC

§  Mkuu wa Mkoa wa Arusha
§  Waziri/ Mambo ya  Ndai
§  Waziri/ Ulinzi&JKT
§  Waziri/M. Nje
04/04/2012
Jumatano
§  Kutembelea  Chuo cha Maafisa wa Jeshi Monduli
§  Kusafiri kwenda Dar es salaam

§  Wajumbe
§  Waziri wa Ulinzi
05/02/2012
Alhamisi
§  Kupitia Rasimu ya Taarifa ya Mwaka


.
§  Wajumbe

06/04/2012
Ijumaa

IJUMAA KUU
7-8/04/2012
Jumamosi-
Jumapili

§  Safari kuelekea Dodoma
·         Wajumbe
·         Katibu wa Bunge

TANBIHI:
1)      Vikao vitaanza saa 4.00 asubuhi
2)      Saa 5.30 Asubuhi kutakuwa na Mapumziko ya Chai kwa dk 20

No comments:

Post a Comment