Tuesday, March 27, 2012

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA FEDHA NA UCHUMI RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI TAREHE 25 MACHI- 6 APRILI, 2012 UKUMBI: MKWAWA, OFISI NDOGO YA BUNGE: DAR ES SALAAM


TAREHE/SIKU
SHUGHULI

MHUSIKA
JUMAPILI
25/03/2012
·     Kuwasili Dar es Salaam
·      Katibu wa Bunge
JUMATATU
26/03/2012
·     Utawala na kupitia Ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
JUMANNE
27/03/2012

·     Kamati kupata taarifa kuhusu utendaji kazi wa Benki ya Rasilimali Tanzania (Tanzania Investment Bank (TIB)) : Mafanikio, Changamoto na Mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo

·     Kupata taarifa kuhusu mchakato wa utoaji wa Mikopo ya Kilimo.


·      Wajumbe

·      Wizara ya Fedha

·      TIB
JUMATANO
28/03/2012

·     Kamati kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli za ‘Mortage Finance’. Mafanikio na Changamoto zake katika utekelezaji


·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      BOT
ALHAMISI
29/03/2012

·         Kupitia na kujadili Taarifa ya Mwaka ya Kamati ya Fedha na uchumi


·      Wajumbe

IJUMAA
30/03/2012

·         Kupata Taarifa ya hatua iliyofikiwa ya uundaaji wa Mpango Elekezi Wa Maendeleo wa Miaka 15 (2011/12-2025/26).


·      Wajumbe
·      OR-Mahusiano na Uratibu
·      Tume ya Mipango


JUMATATU
02/04/2012

·         Kamati kupitia, kujadili na kushauri kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali katika Mwaka wa fedha wa 2012/2013

·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      Tume ya Mipango
JUMANNE
03/04/2012
·         Kamati kupitia, kujadili na kushauri kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali katika Mwaka wa Fedha wa 2012/2013
·      Wajumbe
·      Wizara Ya Fedha
·      Tume ya Mipango
JUMATANO
04/04/2012
·     Kukutana na Wizara ya Fedha kujadili na kushauri kuhusu wingi wa kodi mbalimbali zinazotozwa katika sekta ya Utalii, Viwanda na Kilimo.

·     Kamati kupokea majibu ya hoja zilizowasilishwa kwenye kikao cha tarehe 20 Januari 2012 kilichohusu kujadili taarifa ya hali ya uchumi kwa kipindi cha nusu mwaka, kuendelea kukua kwa mfumuko wa bei na mafanikio na utekelezaji wa bajeti ya Serikali kwa kipindi cha nusu Mwaka.



·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      BOT

ALHAMISI
05/04/2012

·         Kamati kupitia na kujadili taarifa ya utekelezaji wa shughuli Baraza la Biashara la Taifa (Tanzania National Business Council): Mafanikio, changamoto na mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo.

·      Wajumbe

·      Wizara Fedha

·      TNBC

IJUMAA
06/04/2012

IJUMAA KUU

JUMAMOSI
07/04/2012
JUMAPILI
08/04/2012

·         Kuelekea Dodoma

·      Wajumbe

·      Katibu wa Bunge

TANBIH:   
·     Vikao vitaanza saa 3: 00 Asubuhi
·      Chai Saa 4:00  - Asubuhi

No comments:

Post a Comment