Mzee Mwinyi akiongoza mchakamchaka kupanda mlima Kilimanjaro katika changamoto ya miaka 10 ya kupanda mlima huo inayoandaliwa na Geita Gold Mining company
Kutelemka kwahitaji uangalifu kiasi
Mzee Mwinyi akitelemka
Mmoja wa viongozi wa kampuni ya Geita gold mining akisalimiana na Mzee Mwinyi wakati wa uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima kilimnajaro kuchangia waathirika
Mzee Mwinyi akiwa na mmoja wa viongozi wa Geita Gold na Mkuu wa Wilaya ya Hai, Dk Sigela
Wasaidizi wa wapanda mlima
Mzee Mwinyi yuko fiti kama kawa
Mama Khadija Mwinyi akiendelea na safari ya kupanda mlima
Safari ya kupanda iliendelea.
Mzee Mwinyi akiwa ameambatana na mkewe mama Khadija Mwinyi pamoja na kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Meja Jenerali Said Kalembo na mkuu mkuu wa wilaya ya Hai Dk Norman Sigela.
Mzee Mwinyi akisalimiana na mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Zara tours.
Wageni mbalimbali
Rais mstaaafu wa awamu ya pili alhaji Ally Hassan Mwinyi katika uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kuchangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa Ukimwi.
Mmoja wa viongozi wa kampuni ya Geita gold mining akisoma hotuba yake wakati wa uzinduzi wa changamoto ya kupanda mlima Kilimanjaro kuchangia waathirika wa Ukimwi, Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi
Hongera sana mheshimiwa....Duh!...kwa kuzitazama tuu hizi picha najisikia Baridi.
ReplyDelete