MATUKIO @ MICHUZI BLOG

Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii

Saturday, September 29, 2018

VODACOM WASAINI MKATABA KUTUMIA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILINO

›
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za mkononi nchini Vodacom Tanzania, Ndugu Hisham Hendi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mku...

NAFASI ART SPACE KUSHEHEREKEA MIAKA 10 TANGU KUANZISHWA KWAKE, WAANDAA TAMASHA MATATA DAR

›
 *Ni leo Septemba 29 ,kufanyika katika ukumbi wao uliopo Mikocheni B kuanzia saa  tisa alasiri *Wasanii maarufu ndani na nje ya nchi kuto...
Friday, September 28, 2018

SHEREHE ZA KUMUAGA KAMISHNA JENERALI MSTAAFU WA MAGEREZA, DKT. JUMA ALI MALEWA, UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM

›
Kamishna Jenerali Mstaafu wa Magereza, Dkt. Juma Alli Malewa akiwa kwenye gari maalum akipita katikati ya Gwaride likiwa katika umbo la O...

RAIS MSTAAFU JK ASHIRIKI MKUTANO WA TOKOMEZA MALARIA DUNIANI

›
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya  Kikwete ameshiriki katika mkutano wa Baraza la Kutokomeza Malaria Duniani (End Malaria Council) uliofanyika tar...

MAGAZETI YA LEO IJUMAA SEPTEMBA 28, 2018

›
Thursday, September 27, 2018

RAIS MAGUFULI AZINDUA FLYOVER YA MFUGALE ENEO LA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

›
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Septemba, 2018 amefungua barabara za juu katika makutan...
‹
›
Home
View web version

About Matukio-Michuzi

  • MICHUZI BLOG
  • Unknown
Powered by Blogger.