MATUKIO @ MICHUZI BLOG

Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii

Sunday, July 29, 2012

BALOZI WA PAPA ATOA SAKARAMENT YA KIPAIMALA KWA MARA YA KWANZA KATIKA KANISA LA MT. PETRO, OSYTERBAY

›
Balozi wa baba Mtakatifu hapa nchini Askofu Mkuu Fransisko Montecillo Padilla akitoa sakaramenti ya kipaimala kwa Aivan Catrece wakati wa ...
Saturday, July 28, 2012

Mahojiano na Mr. Japhet Kalindu (Afisa Tawala wa Hospitali Ya Igogwe wilayani Rungwe katika mwaka ambao hospitali hiyo inaadhimisha Jubilei ya Almasi (Diamaond Jubilee, miaka 50 ya kuasisiwa).

›
1.    Tafadhali jitambulishe kwa wasomaji wa Globu ya Jamii kwa kifupi . Naitwa Mr. Japhet Mwabuluki Kalindu (MPA – HSM, ADHA, Cert. Philoso...

Yanga Mabingwa wapya wa Cecafa Kagame Cup 2012

›
Mabingwa wapya wa Mashindano ya Cecafa Kagame Cup,Timu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam wakishangilia ubingwa wao huo walioutwa jioni ya leo...
Friday, July 27, 2012

KAZI YA KUKUSANYA MAONI KUHUSU KATIBA MPYA PEMBA - KISHAPU (SHINYANGA) - HANDENI (TANGA) - BAGAMOYO (PWANI)

›
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mjini, kata ya Kishapu Mjini, Wilaya ya Kishapu, Bw. Tido Nuhu (52) akiwakaribisha Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Ka...

Ni Birthday ya 63 ya Mhe. Spika Anne Makinda

›
  Keki ya Birthday   Wapambe wakiwasilisha Keki   Pokea Keki Mama   Asanteni sana   Keki inakatwa   Hepi bethdei   Bi Neema Kiula akilishwa...
‹
›
Home
View web version

About Matukio-Michuzi

  • MICHUZI BLOG
  • Unknown
Powered by Blogger.