Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa kaongozana na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin Ally akiwasili kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa na Raisi wa Taasisi ya Al Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir (kushoto) na Waziri wa TAMISEMI wa Saudi Arabia Sheikh Dkt. Swaleh al Sheikh mara alipowasili kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Mohamed Ghalib Bilali mara baada ya kuwasili kuwa mgeni rasmi kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu wa viongozi wengine wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin Ally wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Sehemu ya maelfu ya waumini waliohudhuria kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Sehemu ya wadau wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Maelfu ya waumini waliohudhuria kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akwa meza kuu na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Rais MStaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na Raisi wa Taasisi ya Al Hikma Foundation (kushoto kwake) na Waziri wa TAMISEMI wa Saudi Arabia Sheikh Dkt. Swaleh al Sheikh (wa tatu kulia) akifuatilia mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Rais wa Taasisi ya Al Hikma Foundation (kushoto)wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakimsikiliza Sheikh Nurdeen Kishk, Mratibu Mkuu wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Sehemu ya Wafadhili wakuu wa Mshindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Taasisi ya Al Hikma Foundation Sheikh Shariff Abdulqadir akihutubuia kwenye mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Wafadhili wakuu wa wakitambulishwa baada ya kufanikisha mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu ya waumini wa
Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimisha mashindano maalumuya 2o ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019

Kiislamu na wadau wengine wakati akihitimisha mashindano maalumuya 20 ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea sehemu ya kutolea zawadi baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia maelfu ya waumini wa Kiislamu na wadau wengine baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiislamu ya Amana Dr. Muhsin Salim Masoud ambapo Benki hiyo ndiyo ilikuwa wadhamini wakuu wa mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Mwakilizshi wa Kituo cha Televisheni cha ZBC Bw. Mehbooud Al Haddad kwa kuwa mmoja wa wadhamini mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Ali Hassan Mwinyi kwa kuwa mlezi wa mashindano hayo ya Qur’aan Tukufu Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa kwa kuwa mdau mkubwa wa mashindano hayo ya Qur’aan Tukufu Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimzawadia Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeiry bin Ally wakati wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimzawadia Bi. Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania baada ya kupata
alama 98.66 na kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kumzawadia Bi. Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania alitepata alama 98.66 na kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika
mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini
Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimzawadia Bw. Idrissa Ousmane wa Niger baada ya kupata Alama 98.67 na kunyakua
ushindi wa nne wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o
ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo
Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimzawadia Bw. Shamshuddin Hussein Ali wa Zanzibar baada ya kuzoa
Alama 98.83 na kuibuka mshindi wa tatu
wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimzawadia Bw. Faruq Kabiru Yakubu wa Nigeria baada ya kuzoa Alama 98.91 na kuibuka mshindi wa Pili wa Washindi
wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan Tukufu
yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisaidiana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiislamu ya Amana Dr. Muhsin Salim Masoud (kulia) akimzawadia Bw. Mohamed El Moujabba Diallo wa Senegal (wa pili kushoto) zawadi ya shilingi milioni 20 baada ya kuzoa
Alama 99.88 na kuibuka mshindi wa Kwanza
wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalumuya 2o ya Qur’aan
Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19,
2019
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akimpatia pesa taslimu shilingi milioni moja Bi Sumayyah Juma Abdallah wa Tanzania ikiwa ni zawadi kutoka kwa Rais Dkt. Magufuli baada ya kupata alama 98.66 na kuibuka mshindi wa tano wa Washindi wa Kuhifadhi Juzuu 30 katika mashindano maalum ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine wakiwa katika dua baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine pamoja na washiriki pamoja na wajumbe wa kamati kuu ya maandalizi ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine pamoja na kamati kuu ya maandalizi ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Sheikh Nurdeen Kishk, Mratibu Mkuu wa mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiaga maelfu ya waumini wa
Kiislamu na wadau wengine baada ya mashindano maalumu ya 20 ya
Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili
Mei 19, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga maelfu ya waumini wa Kiislamu na wadau wengine baada ya mashindano maalumu ya 20 ya Qur’aan Tukufu yaliyofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam leo Jumapili Mei 19, 2019.
PICHA ZOTE NA IKULU
Do this hack to drop 2lb of fat in 8 hours
ReplyDeleteOver 160 thousand women and men are using a easy and secret "liquid hack" to burn 2 lbs every night while they sleep.
It's easy and it works on anybody.
Here's how you can do it yourself:
1) Go grab a glass and fill it up with water half full
2) Now learn this crazy HACK
you'll be 2 lbs thinner as soon as tomorrow!
Good post thanks for share information.
ReplyDeletewhizz herald
tales buzz
tech withgeeks
bulletin tech
alternatives tips