Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa China Nchini, Mhe. Wang
Ke wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es
salaam, Kutoa Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018.
Wapili kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa
Joyce Ndalichako na kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika bango wakati alipowasili
kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam kutoa Tuzo za
Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi
walioshiriki katika sherehe za Utoaji Tuzo za Mashindano ya TEHAMA ya
HUAWEI kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 5,
2018. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
Mhandisi, Atashasta Nditiye, Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia,
Profesa Joyce Ndalichako, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya HUAWEI
nchini, Frank Zhou na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang Ke.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Tuzo Mshindi wa Kwanza wa Mashindano
ya TEHAMA ya HUAWEI, Emmanuel Chaula wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam
katika sherehe za kukabidhi Tuzo hizo kwenye hoteli ya Hayyat Regency
jijini Dar es salaam, Desemba 5, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipokabidhi Tuzo za
Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI kwenye hoteli ya Hayyat Regency jijini
Dar es salaam, Desemba 5, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Viongozi wa Kitaifa na Kimataifa
wakiwa katika picha ya pamoja na washindi wa Mashindano ya TEHAMA ya
HUAWEI baada ya kuwakabidhi tuzo za ushindi washindi hao kwenye hoteli
ya Hayyat Regency jijini Dar es salaam, Desemba 5, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Balozi wa China nchini, Mhe. Wang
Ke (wapili kulia) na Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekinolojia, Profesa
Joyce Ndalichako wakati alipotoka kwenye ukumbi wa hoteli ya Hayyat
Regency jijini Dar es salaam baada ya kutoa Tuzo kwa washindi wa
Mashindano ya TEHAMA ya HUAWEI, Desemba 5, 2018. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment