Sunday, June 10, 2018

SPIKA JOB NDUGAI AWATAKA VIONGOZI WA DINI NA WATANZANIA KUHUBIRI NA KUDUMISHA AMANI NA UTULIVU NCHINI

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, na Mbunge wa Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (kushoto) akiwa na Mkuu wa Idara ya Masomo wa Benki ya Amana Bi. Rusma Ndoss, wakifuatilia matukio ya mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh n Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Baadhi ya Wabunge na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dodoma, wakifuatilia matukio ya mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa, Falesy Mohamed Kibassa (mwenye miwani)pamoja na viongozi wengine, wakishuhudia mashindano ya ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh n Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Mmoja wa vijana walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, akipokea zawadi ya fedha taslimu kutoka meza kuu baada ya kuonesha umahili mkubwa wa kuhifadhi Qur’an kwenye mashindano yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
aziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), akisisitiza umuhimu wa kuendeleza amani, umoja na mshikamano hapa nchini pamoja na kupinga vitendo vya uhalifu katika jamii, wakati wa mashindano ya ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Meneja wa mashindano ya tatu ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii wilayani Kondoa, ambaye pia ni mume wa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Jimbo la Kondoa, Dkt. Ashatu Kijaji, Dkt. Kachwamba, akiwashukuru washiriki na waalikwa wote waliohudhuria mashindano hayo yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini.


Meza Kuu, wakiongozwa na Mhe. Spika Job Ndugai (wa pili kushoto), wakifuatilia matukio ya mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mustapher Shaaban, akihutubia kabla ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma, yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango na Mbunge wa Kondoa, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, akielezea umuhimu wa vijana kuzingatia elimu ya dini na elimu dunia ili waweze kujenga uzalendo na maadili mema yatakayolisaidia taifa kupiga hatua kimaendeleo, wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai, akisisitiza umuhimu wa watanzania kuvumiliana kwenye masuala ya dini, alipopata nafasi ya kukabidhi zawadi mbalimbali kwa washindi wa mashindano ya kuhifadhi Qur’an ya Tajwid, Tahfidh N Tashjii, yaliyofanyika katika Kata ya Pahi, Wilayani Kondoa mkoani Dodoma yakiwashirikisha zaidi ya vijana 40 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini na kudhaminiwa na Dkt. Ashatu Kijaji, na Benki ya Amana.


(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango

No comments:

Post a Comment