Waziri wa Madini Mhe. Anjellah Kairuki akifurahia jambo na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo kabla ya kikao
cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa ukuta kuzunguka
mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
tarehe 6 Aprili 2018.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Hussein Mwinyi
akipokelewa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance
Mabeyo kabla ya kikao cha majumuisho kuhusu maandalizi ya uzinduzi wa
ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara
unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo akisalimiana na
Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Florence
Turuka wakati wakikagua maendeleo ya maandalizi ya uzinduzi wa ukuta
kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa
kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti (wapili kutoka
kushoto) akikagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya uzinduzi wa
ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara
unaotarajiwa kufanyika tarehe 6 Aprili 2018.
Sehemu ya ukuta unaozunguka mgodi wa Tanzanite kama
unavyoonekana kabla ya uzinduzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 6 Aprili
2018 katika eneo la Mirerani Mkoani Manyara.
Sehemu ya Majukwaa yatakayotumika wakati wa uzinduzi wa ukuta
unaouzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara
unaotarajiwa kuzinduliwa tarehe 6 Aprili 2018 na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
PIX7.Mafundi wakiwa katika hatua za mwisho kukamilisha maandalizi ya
uzinduzi wa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani
Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
Mmoja wa mafundi akiendelea na kazi ya kuandaa eneo
litakapowekwa jiwe la msingi wakati wa uzinduzi wa ukuta kuzunguka
mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani Manyara unaotarajiwa kuzinduliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
tarehe 6 Aprili 2018.
Sehemu ya geti la kuingia katika eneo la mgodi wa Tanzanite kama
inavyoonekana katika picha.
Kanali Mtaula akitoa maelezo kuhusu maendeleo ya maandalizi ya
uzinduzi wa ukuta wa kuzunguka mgodi wa Tanzanite Mirerani Mkoani
Manyara kwa viongozi mbalimbali akiwemo Katibu mkuu Wizara ya Ulinzi
na JKT Dkt. Florence Turuka na Katibu Mkuu Wizara ya Madini Prof.
Saimon Msanjila, unaotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 6 Aprili 2018.
No comments:
Post a Comment