Friday, September 1, 2017

DKT SHEIN AONGOZA BARAZA LA EID FUMBA-UNGUJA,MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akisalimiana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Viongozi mbali mbali baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akipungia mkono Viongozi mbali mbali kama ishara ya kuwaaga baada ya kumalizika kwa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman alipowasili katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo.
Wananchi na Viongozi wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya Akinamama waliohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo,katika ukumbi wa mkutano wa Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto) akiwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za Baraza la Eid EL Hajj lililofanyika katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Baadhi ya Wake wa Viongozi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za Baraza la Eid EL Hajj lililofanyika katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,

Baadhi ya Akinamama waliohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe hizo zilizofanyika katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,[Picha na Ikulu.] 01/09/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akipokea salamu ya heshma kwa kikosi cha pilisi cha FFU mara alipowasili katika sherehe za Baraza la Eid el Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj DK.Ali Mohamed Shein (kushoto)alipokuwa akisalimiana na Wananchi na Viongozi mbali mbali baada ya kutoa hutuba yake katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika leo katika viwanja vya Nyumba za Mji Mpya wa Kisasa Fumba Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

No comments:

Post a Comment