Thursday, June 15, 2017

TASUBA WAPAMBA KONGAMANO LA KIGODA CHA MWALIMU NYERERE CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

 Wasanii wa kutoka Tasisi Sanaa Bagamoyo ,TASUBA, Wakipiga ngoma wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
 Mmoja wasanii kutoka TASUBA akitamba na igizo  wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
 Wasanii wa kutoka Taasisi Sanaa Bagamoyo ,TASUBA, Wakicheza mchezo wa jukwaani wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
  Mmoja wasanii kutoka TASUBA akitamba na igizo  wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
  Mmoja wasanii kutoka TASUBA akitamba na igizo  wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa Nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
 Wasanii wa kutoka Tasisi Sanaa Bagamoyo ,TASUBA, Wakicheza mchezo wa jukwaani wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
 Sehemu ya washiriki wa kongamano la kigoda cha Mwalimu Nyerere wakifatilia mchezo wa jukwaani uliokuwa ukichezwa na Tasisi ya Sanaa Bagamoyo,TASUBA
 Wasanii wa kutoka Taasisi ya Sanaa Bagamoyo ,TASUBA, Wakipiga ngoma wakati wa onesho lao katika kigoda cha Mwalimu Nyerere lililofanyika katika ukumbi wa nkurumah Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam
 Sehemu ya washiriki wa kongamano la kigoda cha Mwalimu Nyerere wakifuatilia mchezo wa jukwaani uliokuwa ukichezwa na Tasisi ya Sanaa Bagamoyo,TASUBA
wasanii waliongoza mdahalo wa Sanaa na Siasa nchini wakifuatilia mchezo wa Jukwani ulio wasilishwa na TASUBA
Picha zote na Humphrey Shao

No comments:

Post a Comment