Sunday, June 11, 2017

RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA


 Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wilaya Muheza wakati wa  ufunguzi wa mpango wa kutoa elimu waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa na wadau mbalimbali ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah kushoto ni Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka madereva wa bodaboda kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa za kulevya kwani watakaokamatwa hawatapona
 Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba na kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald
 Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza,(OCD) akizungumza katika kikao hicho kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex
 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex akizungumza katika kikao hicho wa pili kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto mwenye miwani ni Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule
 Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald akizungumza katika kikao hicho
 Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule aliwataka madereva wa bodaboda kujiunga na mfuko huo
kupitia mpango wa bodaboda Scheme ili waweze kunufaika.
  Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba katikati akifuatilia maswali mbalimbali kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah
  Waendesha pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
 Waendesha pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
 Waendesha pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho 
Habari kwa hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha 

No comments:

Post a Comment