Sunday, June 11, 2017

KISOMO CHA DUA YA KUMWOMBEA AUNTY REHEMA CHAFANYIKA DMV

Aunty Rehema (kati) akiwa katika picha ya pamoja na Mr and Mrs Gao siku ya Jumamosi June 10, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani siku akina dada DMV wakitaribiwa na TAMCO walipomfanyia dua.

Aunty Rehema akijipakulia futari  siku ya Jumamosi June 10, 2017 Silver Spring, Maryland nchini Marekani siku akina dada DMV wakitaribishwa na TAMCO walipomanyia dua la kumwombea.

Wakina dada wa DMV waandaaji huku wakiwa wameratibiwa na TAMCO wakiwa katika picha ya pamoja na Aunty Rehema.

Kushoto ni Ustadh Gadafi pamoja na Miki wakiongoza dua la kumwombea Aunty Rehema.

Kwa picha zaidi bofya soma zaidi





No comments:

Post a Comment