Monday, January 23, 2017

YALIYOJIRI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TELEVISHENI LEO January 21, 2017



Makamo wa rais wa Tanzania amesema Tanzania itaendeelea kudumisha na kuimarisha mahusiano mazuri na jamuhuri ya watu wa china: https://youtu.be/iUDEmN4fxA4

Waziri mkuu amesema serikali imetoa shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Njombe: https://youtu.be/ZMNf9HgyKBE

Uhaba wa chakula unaowakumba baadhi ya wananchi hapa nchini   umechukua sura mpya baada ya wakazi wa mkoa wa Rukwa kudai kuwa hawana njaa ya chakula: https://youtu.be/finpdqBqHng

Watanzania wapewa changamoto ya kuchangamkia  fursa ya masomo   zinazopatikana nchini Uturuki  ili waweze kupata taaluma bora: https://youtu.be/kh1Q1bk_5Jg

Spika wa bunge Mh.Jobu Ndugai amepokea barua ya kujiuzulu ubunge kutoka kwa Abdallah Posi  baada ya kuteuliwa kuwa balozi: https://youtu.be/FXLXvjmR_Xs

Klabu la gofu ya jeshi la ulinzi wa  wananchi wa Tanzania wapo kwenye maandalizi ya maadhimisho ya miaka 10 ya klabu ya Lugalo: https://youtu.be/U4_RmCEtPp8

Timu ya Yanga imeibuka na ushindi baada ya kuitwanga timu ya Ashanti United magoli manne katika kombe la Azam Federation: https://youtu.be/J4hQYf2ne8s

Serikali imepanga kuajiri watumishi wa kutosha katika sekta ya elimu na afya kwa mwaka huu ili kuongeza ufanisi wa kazi katika sekta hizo; https://youtu.be/ZcTABqlAMPM

Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu amesema serikali ya Tanzania itaendelea kudumisha uhusiano wake na nchi ya China; https://youtu.be/SSXe1_64uz8

Tume ya uchaguzi NEC yawataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuchagua viongozi wao katika uchaguzi mdogo jimbo la Dimani Zanzibar; https://youtu.be/VU2zF-1bpcg

Jeshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia madaktari wawili kwa tuhuma za kuchukua fedha kwa wagonjwa kinyume na taratibu; https://youtu.be/lEjkqZSPmD8

Serikali imesema kuwa inatambua mchango wa sekta binafsi katika kukuza uchumi na kuleta maendeleo nchini; https://youtu.be/YoJozIkdd4U

Serikali yatoa wito kwa vyombo vya ulinzi nchini kufanya doria katika mipaka   mara kwa mara  katika kupambana na biashara ya madawa ya kulevya; https://youtu.be/WKP8_Dh6-48

Timu ya Yanga yaitandika Ashanti united goli 4 kwa 1 katika mchezo wa kuwania kombe la shirikisho uliopigwa hii leo jijini Dar es Salaam; https://youtu.be/mO82iCPnhxM

Timu ya Polisi  Dar es Salaam yatamba kuifunga Simba katika mchezo wake wa kuwania kombe la FA  utakaopigwa kesho katika dimba la Uhuru; https://youtu.be/K16KEyqEho8

Wadau wa mchezo wa kubashiri watabashiri michuano ya Sports Extra Ndondo Cup kupitia kampuni ya kubashiri ya Princess Bet; https://youtu.be/a553adN9UB0

No comments:

Post a Comment