Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary (kulia) wakizungumza na watoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt Salmin Amour wakati walipoitembelea familia ya Rais huyo eneo la Kilimani mjini Zanzibar, Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10, 2017.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kulia) akizungumza na Mama Azza Salmin, Mke wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati yeye na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walipoitembelea familia hiyo eneo la Kilimani Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour wakati walipomtembelea nyumbani kwake eneo la Kilimani, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati alipomtembelea nyumbani kwake eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilali wakati walipokwenda nyumbani kwake eneo la Mbweni , Zanzibar januari 10, 2017.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akizungumza na wake za Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Zakia (kushoto na Asha (katikati) wakati yeye na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa walipoitembelea familia ya Dkt. Bilal , eneo la Mbweni Zanzibar, Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (watatu kushoto) wakizungumza na Makamu wa Rais Mstafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama Zakia Biala (kushoto) na Mama Asha Bilal wakati walipowatembelea nyumbani kwao eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na wake zake, Mama Zakia Biala (wapili kushoto) na Asha Bilal (watatu kulia) wakati walipowatembelea nyumbani kwao eneo la Mbweni, Zanzibar Januari 10, 2017.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Ahsante kwa pictures nzuri...ila hapo anapoishi mheshimiwa raisi mstaafu Dr. Salmin hapaitwi Kilimani, ni MIGOMBANI.
ReplyDelete