Tuesday, January 10, 2017

UZINDUZI WA MRADI WA UJENZI WA MIUNDOMBINU MAENEO HURU YA UCHUMI FUMBA, ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakati alipofika  kuzindua  Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi  wa Kampuni ya Azam Group  wakati alipofika  kuzindua  Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa wakati alipofika  kuzindua  Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

 Miongoni mwa nyumba za kisasa zinazoendelea kujengwa katika mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi , sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi zilizozinduliwa leo na  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ikiwa ni  shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na baadhi ya viongozi  waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa   Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akiangalia majarida yenye michoro inayohusiana na  Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi baada ya kuzindua mradi huo rasmi ikiwa ni   katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
 Maafisa mbali mbali wa taasisi   za Serikali na Wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa   Mradi wa Ujenzi wa Miundombinu katika maeneo huru ya Uchumi huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Mwakilishi wa Kampuni ya BakhresaGroup of Companies Bw.Salim Aziz akitoa maelezo kuhusu mradi wa Fumba Sattelite City ambao utajenga Mji wa Kisasa wenye hadhi ya kimataifa wakati wa Uzinduzi wa Mradi huo uliozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein huko Fumba Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa Mjini Magharibi leo, sambamba na uwekaji wa jiwe la msingi nyumba za kuishi ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment