Saturday, January 14, 2017
RC IRINGA AONGOZA WANANCHI KATIKA MAZOEZI KIAFYA UWANJA WA SAMORA ASUBUHI YA LEO
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza katikati wa pili kulia akiwa na mbunge wa viti maalum mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) wakiongoza mazoezi kwa wanawake watumishi na wasio watumishi pamoja na baadhi ya wanaume leo katika uwanja wa Samora mazoezi ambayo yataendelea kila jumamosi mjini hapa Picha zote na MatukiodaimaBlog
Baadhi ya askari wanawake walioshiriki mazoezi leo uwanja wa Samora Iringa.
Wanawake na wananchi wakitoka uwanja wa samora katika mazoezi leo.
Mmoja ya wanajeshi Bw Kimbavala aliyeshiriki kutoa mazoezio leo.
DC Kasesela akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Tanesco Iringa walioshiriki mazoezi
Rc Iringa akihamasisha wanawake na wananchi Iringa kujitokeza katika mazoezi jumamosi ijayo tena
Mazoezi yakiendelea kwa wote
RC Iringa wa tatu kushoto akifuatiwa na mbunge Kabati
RC akionyesha uwezo katika mazoezi
DC Richard Kasesela akiwajibika katika mazoezi
Kasesela akionyesha mazoezi leo uwanja wa samora Iringa
Afisa habari Manispaa ya Iringa Sima Bingileki katikati akishiriki mazoezi
Baadhi ya maofisa watendaji kata wakiwa katika mazoezi
vyombo vya ulinzi na usalama mkoa wa Iringa nanvyo vyashiriki mazoezi kwa kuzunguka mtaani mji wa Iringa
Ni mazoezi kwa wote mkoa wa Iringa.
No comments:
Post a Comment