Sunday, January 1, 2017

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA CHA KABYAILE MISENYI MKOANI KAGERA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika eneo la Ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria kuanza kwa ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera. Wengine katika picha ni Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage, Waziri  Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Vija Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako wakiwa wameshika utepe huo.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi  mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika Kituo cha Afya cha Kabyaile Misenyi Mkoani Kagera.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maeneo ya ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika eneo la mradi wa ujenzi wa kituo hicho cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera.

Moja ya majengo katika mradi huo wa kituo cha Afya cha Kabyaile kilichopo Misenyi mkoani Kagera. PICHA NA IKULU

1 comment:

  1. Asante Rais kwa kujionea ujenzi unaoendelea, lakini pamoja na Mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo hayo mvua hazipo kabisa vyanzo vya mito vimekauka na wanakijiji hawatumii mkaa kusema kuwa wamekata miti. Waziri wa Nishati na Madini tunaomba umeme usihishie hapo katika eneo la mradi usambae katika Vitongoji vya Kabyaile, Mikimala na Nyange , maana huko ndipo walipo walengwa hapo ni Centre ambayo haina umri hata wa miaka 5 toka imeanzishwa.
    Sambambara na hilo kuna kiwanda cha Mbao mwekezaji akiwa Raia wa Sweden,hivyo tunaomba umeme ufike katika kitongoji kabyaile ili kiwanda hicho kipate Umeme. Wananchi tupo tayari kuweka umeme katika nyumbani zetu.

    ReplyDelete