Wednesday, January 11, 2017

NICHAGUENI NITAWALETEA MAENDELEO - MGOMBEA UDIWANI WA CCM KATA YA KIJICHI

 Mgombea  wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi akizungumza na wananchi wa kitongoji cha Sayari wakati wa kuomba kura leo.Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya jamii.
 Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,Afidu Luambano akizungumza na wakazi  wa Kijichi wakati mkutano wa hadhara  wa  kuomba kura ya Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza wakati wa akimnadi Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akiwa ,amemshika mkono Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
 Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akimnadi kwa wapiga kura Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
 Mbunge wa Mbagala, Issa Mangungu akizungumza na wakazi  wa Kijichi wakati mkutano wa hadhara  wa  kuomba kura ya Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi leo katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura.
 Sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi

Meza kuu na sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi
 Sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi
 Sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi
 Sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi
  Mgombea  wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi akiondoka baada ya kuzungumza na wananchi wa kitongoji cha Sayari wakati wa kuomba kura leo
Sehemu ya wananchi na wakereketwa wakiwa katika shamlashamla leo wakati katika mkutano wa hadhara wa kuomba kura kwa Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kijichi kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Tausi Milanzi.
Picha zote na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.

No comments:

Post a Comment