Kuhusu NSSF, nimekerwa sana na NSSF kufatilia mafao yangu nilioacha toka mwaka 2005 nilipoondoka Tanzania. Nilishafika ofisi ya Ilala zaidi ya mara 4 na nilikua na hivi barua ya work permit ya Australia, ticket yangu na watoto kurudia, passport yangu inaonyesha niliondoka mwaka gani walioona walikubaliana na evidence wakasema nenda onana na.... then...then...kwenye malipo nikaambiwa nikamuone Fatima Mkwawa (Mama Meso) hakua na interest ya kujua chochote yeye alisema ili afungue kesi anahitaji barua ya ndoa??? maana siku hizi Rais Magufuli! Jamani mbona watu wanaongea no sense kusingizia Rais inamaana Rais ameweka sheria lazima uwe na cheti cha ndoa kyfungua kesi?? Je kama hujaolewa inamaana hulipwi haki yako? Fatima Mkwawa (mama meso) hakutaka kusikia chochote au kuangalia evidence zangu yeye alichotaka original marriage certificate?? Tarehe 6th Jan ndio siku niliokutana na boss Fatma Mkwawa (Mama Meso) Mama meso hakua ni mtu wa kujali au kufanya kazi yake zaidi ya kutaka cheti cha ndoa. her boss principal better kwa maelezo na best boss sijui kama.ni boss ila nitasema boss maana yeye anafanya kazi kidiplomatic yuko ukipanda ngazi mwisho wa ngazi kulia karibu na viti vya kukaa ofisi yake iko kushoto sina jina lake ila kazi yake ni na maongezi yake very educated lady. Please naomba kusaidiwa kweli lazima.uwe na cheti cha ndoa ili kulipwa au kunamengine aliotaka?

ReplyDeleteAsanteni
Enna GM