Sunday, January 1, 2017

KILELE CHA BONANZA LA MAZOEZI YA VIUNGO LEO UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipokea risala ya Wanamichezo wa mazoezi ya Viungo kutoka kwa Nd,Sihaba Mohamed Saidi, wakati wa   kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akisalimiana na Mwimbaji Mkongwe wa Muziki wa Taarab Bi.Rukia Ramadhan aliyeimba wimbo maalum wa Dk.Shein   wakati wa   kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
 Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Mhe,Rashid Ali Juma alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wanamichezo katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  alipokuwa akizungumza na wanamichezo katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari Cpt .Abdalla Juma, katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba,mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mwakilishi wa Jimbo la Jango'mbe Mhe,Maulid Abdalla Diwani, katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba pia mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. 
 Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi (kushoto) akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mwakilishi wa G1 Group Rajab Ali Rajab  katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba pia mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein 
 Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi akimkabidhi cheti cha wachangiaji Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud,katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba pia mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (kushoto) akimkabidhi cheti  Mratibu wa Baraza la Michezo Pemba Rashid Khalfan, katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,ambayo yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba. Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment