Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akiwa na mkewe siku ya ndoa yao katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Bi
Munira mke halali wa Amir Mongi akiwa na mumewe Amir Mongi siku ya
sherehe ya ndoa yao jumamosi katika ukumbi wa Mamba Complex Marangu
mkoani Kilimanjaro.
Amir Mongi akimvisha pete mewe Munirah Bawaziri siku ya ndoa yao
,katika sherehe iliyofayika kwenye ukumbi wa Mamba Complex Marangu
Kilimanjaro januari 2017.Katibu wa Arusha Press Club Amir Mongi akivishwa pete na mkewe Munirah Bawaziri katika sherehe ya ndoa yao ,iliyofanyika katika ukumbi nwa Mamba Complex Marangu Mkoani Kilimanjaro.
Amiri Mongi akimkumbatia mkewe Munirah Bawazir .
Maharusi wakiwa wanapata chakula pamoja na waandishi wa habari kuroka Jiji la Arusha.
Sherehe inaendelea.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Jijini Arusha wakiwa wamesimama na mmoja wao aliyevaa gauni la njano Pamella Mollel akiwa anazungumza kwa niaba yao.
Wakilisakata rumba katika sherehe hiyo pamoja na maharusi .
MC Kiko akiwa anateta jambo na mmoja wa wazee wa upande wa bwana harusi katika sherehe hiyo,ambapo naye alikuwa msema chochote siku hiyo.Picha na Vero Ignatus Blog.
Pongezi mbalimbali zikiendelea kutoka kwa ndugu jamaa na marafiki.picha na vero Ignatus Blog.
wow,ni jambo la kumshukuru Mungu muweza wa kila jambo baada ya Amier Mongi aliyekuwa mtangazaji wa Kili Fm Moshi na baadaye kujiunga na Triple A Radio Arusha kabla ya kujinakilisha nchini Ghana katika kuinua fani yake na baadaye kuteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Waandishi wa Habari Arusha akiwa amefunga Pingu za Maisha na Bi Munira toka pale jijini Tanga, Mungu awape afya njema na maisha yenye mafaniukio zaidi maishani mwao na familia yenye mapenzi inshalklah Ameeen
ReplyDelete