Saturday, January 14, 2017

DSTV WAUNGANA NA WAANDISHI KUSHUHUDIA UFUNGUZI WA AFCON GABON

Mkurugenzi wa Multichoiuce Tanzania  Maharage Chande akizungumza wakati wa kuwakaribisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbaliu nchini wakati wa ufunguzi wa kombe la mataifa Afrika yanayofanyika Gabon
Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa akuzngumza wakati wahafla ya waandishi wa habari pamoja na kuangalia ufunguzi wa kombe la mataifa Afrika AFCON kwa oamoja leo Jijini Dar es salaam

aadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika hafla hiyo leo Jijini Dar es salamm.


Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa (Katikati) akijadiliana jambo na John Bukuku (kulia) wakati wa hafla ya waandishi wa habari pembeni ni Othman Michuzi.

Bendi alikwa wakitumbuiza kwenye hafla ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.


Mkurugenzi wa Multichoiuce Tanzania  Maharage Chande akiwa pamoja na wafanyakazi wengine wakampuni hiyo wakati wa hafla ya waandishi wa habari iliyofanyika leo Jijini Dar es salaam.
Ahmad Michuzi akisaini katika kitabu cha wageni wakati wa hafla ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.

Waandisi wa habari kwa pamoja na wafanyakazi wa Multichoice Tanzania wakiburudika wka pamoja katika hafla ya waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.



Waaandishi wa habari wakishuhudia kwa pamoja uzinduzi wa michuano hiyo leo Jijini Dar es salaa.Picha na Emanuel Masaka

No comments:

Post a Comment