Tuesday, January 10, 2017

DROO YA BORESHA MAISHA NA DCB YAFANYIKA MWISHONI MWA WIKI

Na Zainab Nyamka, 
Globu ya Jamii

Benki ya DCB imechezesha droo yake ya kwanza ya bahati nasibu ya kampeni ya kuweka amana inayoitwa Boresha maisha na DCB mwishoni mwa wiki hii.
Akizungumza kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo, aliyekaimu nafasi hiyo Steven Dede amesema kuwa droo hii inahusisha akaunti za akiba binafsi, akaunti ya watoto na akaunti ya WAHI.
Dede amebainisha kuwa mteja wa DCB anatakiwa kuweka kiasi cha 50,000 ili kuingia kwenye droo mojawapo kulingana n akaunti anayotumia na hii iliwahusisha wale wote walioana kuweka hela kuanzia Novemba 28 mpaka Desemba 28 mwaka jana.
Amebainisha zawadi watakazopata washindi wa droo hiyo ni pamoja na washindi 20 kupata tshrt kila mmoja, washindi 2 kupata simu za mkononi na washindi 3 watapata pesa taslimu kwa ajili ya ada ya shule.
Droo hiyo ilishuhudiwa na mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha (Bahati Nasibu) Bakari Maggid na kuhakikisha haki inafanyika na washindi wanapatikana kihalali.

Washindi wa simu za mkononi ni:
1 STOPH YUSUPH SANGA 320010013360 3 personal phone
 2 ROGERS JOHNSON KHASUSA 920010000420 9 personal phone

Washindi wa pesa taslimu ni 
1 ALOYCE HASSAN KWAY ITF MICHELLE ALOY... 120050000514 1 watoto cash
 2 JOYCE JOSEPH NDYETABURA ITF JOSEPHIN... 320050000589 3 watoto cash 
3 LATIFA RAMADHANI ALMASI ITF ABUBAKAR Y... 320050000450 3 watoto cash 

washindi wa Tshrt ni 
1 OMARI RASHIDI MGONJA 420010000603 4 personal t-shirt
 2 GOODCHANCE DOUGLAS SHAYO 420010003400 4 personal t-shirt
 3 SAMWEL SYLIVESTER GUNDA 520010000473 5 personal t-shirt
 4 ANJI ALLY HANYA 720010000166 7 personal t-shirt 
5 ANGELO WILLIAM KAKWEZI 120010040503 1 personal t-shirt
 6 ABDILAH ZUBERI ALLY 420010007623 4 personal t-shirt 
7 DOMINIC WILIAM NGOWI 920010000399 9 personal t-shirt
 8 PETER COSTAR SUMUNI 920010000153 9 personal t-shirt 
9 SAIDI MOHAMEDI MTENDA 420010002727 4 personal t-shirt
 10 SAID ISSA KILAGULISE 720010001388 7 personal t-shirt 
11 AMIRI ALLY OMARI 120010001537 1 personal t-shirt 
12 MARTIN TEOPHIL BALIGE 720010002229 7 personal t-shirt
 13 ZAITUNI OMARI MGUNYA 520010010486 5 personal t-shirt 
14 DOGO MWALIMU SEIPH 320010016324 3 personal t-shirt 
15 MOHAMED SAID MAGWILA T A I MAGWILA S... 520010006765 5 personal t-shirt 
16 LATIFAH NYABANGE MAKERE 720010003371 7 personal t-shirt
 17 JUMA AMILI SALUM 420010001495 4 personal t-shirt
 18 MARIAMU ABDALLAH CHANDE 120010029412 1 personal t-shirt
 19 KHAMIS ALLY ABDALLAH 720010003638 7 personal t-shirt 
20 PETER KAYIMBU BUNDALA 720010002310 7 personal t-shirt  
 Kaimu Mkurugenzi wa DCB, Steven Dede akizungumza na waandishi wa habari mwishoni wa wiki hii wakati wa droo ya promosheni ya Boresha maisha na DCB mwishoni mwa wiki hii, kulia ni Mkuu wa uendeshaji wa matawi wa DCB Haika Machaku.
Kaimu Mkurugenzi wa DCB, Steven Dede akiwa anabonyeza kuanza kwa droo hiyo akishuhudiwa na mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha (Bahati Nasibu) Bakari Maggid (kushoto)

No comments:

Post a Comment