Tuesday, September 27, 2016

Ndege ya pili ya Bombadier Q400 yatua Dar es salaam leo, Uzinduzi rasmi kesho

 Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  ikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
 Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikaliikitua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
 Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  ikipata Saluti ya maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.

 Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ikiegeshwa karibu na pacha wake iliyofika wiki moja uliopita  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
 Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiwa miongoni mwa wapokeaji wa ndege hiyo atika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho na viongozi wakisubiri Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
 Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. 
 Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho  na viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akisalimiana na nahoda   John Kuipers aliyeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  na kuiwasilisha salama katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akikagua  Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali mara ilipotua  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho  akiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi (kushoto kwake) pamoja na maafisa wengine wakiwa katika Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Taifa (ATCL) mara ilipotua  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
 Nahoda  John Kuipers na Nahodha Owen Davies walioendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi wakitelemka baada ya kuikagua Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  mara ilipotua  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho  akimpa pongezi   nahoda wa  John Kuipers aliyeendesha aliyeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali mara ilipotua  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.

 Nahoda  John Kuipers (kulia) na Nahodha Owen Davies (kati) pamoja na mhandisi wao  Pavel Melichar walioendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus  Matindi akiongea mara baada ya kuwasili kwa ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali  wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.

No comments:

Post a Comment