Saturday, May 28, 2016

Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam.

 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea wanahabari  wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam
 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongozana na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo (wa pili mtasari wa kwanza kulia) akiongozana na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta eneo la “Deport” ya PUMA wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta katika leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam ili kujionea hali ya upatikanaji wa mafuta ya ndege baada ya kugundulika baadhi ya shehena ya mafuta hayo yaliyoingizwa nchini yalikuwa yamechanganyika na mafuta ya petroli.
 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni wa Kampuni ya Oryx Energies Godifrey Fernandes akimuonesha Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo baadhi ya maeneo yanapohifadhiwa mafuta wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam.
 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam ili kujionea hali ya upatikanaji wa mafuta ya ndege baada ya kugundulika baadhi ya shehena ya mafuta hayo yaliyoingizwa nchini yalikuwa yamechanganyika na mafuta ya petroli.
 
 Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea na baadhi ya madereva wanaosafirisha mafuta ndani na nje ya nchi leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo akiongea na baadhi ya viongozi wa makampuni ya mafuta wakati wa ziara ya kukagua matanki ya kuhifadhia mafuta leo jijini Dar es salaam eneo yalipo matanki ya mafuta ya kampuni ya GAPCO ili kujionea hali ya upatikanaji wa mafuta ya ndege baada ya kugundulika baadhi ya shehena ya mafuta hayo yaliyoingizwa nchini yalikuwa yamechanganyika na mafuta ya petroli. Picha zote na Eleuteri Mangi-MAELEZO

No comments:

Post a Comment