Monday, May 30, 2016

MWENYEKITI WA TUME YA KUREKEBISHA SHERIA NCHINI AKUTANA NA WAFUGAJI WA KIBAHA VIJIJINI

Bw. Kasongo Kilendu wa kijiji cha Magindu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini akichangia maoni wakati wa Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee unaondeshwa na Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akiwa katika picha ya pamoja na wafugaji wa kijiji cha Magindu katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini wakati wa Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee unaondeshwana Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika mikoa ya Pwani na Morogoro, picha zote na Munir Shemweta.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bw. Zubeir Sabatala akizungumza na ujumbe wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania ulioongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Jaji Aloysius Mujulizi wakati Tume ilipofanya Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee katika mikoa ya Pwani na Morogoro.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kitongoji cha Mlandizi Kati Bw. Ally Nyambwilo akizungumza wakati wa Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee unaondeshwana Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania katika mikoa ya Pwani na Morogoro.
Mzee wa Jamii ya ufugaji Bw. Lukunati Moreto wa kijiji cha Magindu katika Halmashauri yaWilaya ya Kibaha Vijijini akichangia maoni wakati wa Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee unaondeshwana Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania mhe. Jaji Aloysius Mujulizi akizungumza na Wazee wa Kitongoji cha Mlandizi Kati wakati wa Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee unaondeshwana Tume.
Bw. Abeid Ally Mamboleo wa Kitongoji cha Mlandizi Kati katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha Vijijini akichangia maoni wakati wa Utafiti wa Mfumo wa Sheria ya Huduma za Jamii kwa Wazee unaondeshwa na Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

No comments:

Post a Comment