Tuesday, April 26, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISION


Rais Magufuli ateua makatibu tawala wa mikoa wapya katika mikoa 26 na wengine kubadilishwa vituo vya kazi; https://youtu.be/Eb-3_wvUsCQ
  
Rais Magufuli pia amemteua Kamshina Andengenye kuwa mkuu wa jeshi la Zima moto nchini; https://youtu.be/G04-bKkRom4
  
Serikali ya China na Tanzania zakubaliana kusaidiana kujenga reli ya kati kwa kiwango cha standard gauge; https://youtu.be/pX6rrdor4NI
  
Mganga mkuu mkoani Singida asema watoto wengi wanaozaliwa mkoani humo hawapati chanjo ya awali; https://youtu.be/ywdtDFG_ZQQ

 Serikali ya Finland yasema nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza mashirika ya utangazaji yaw a umma; https://youtu.be/1P8WQu43WU0  
  
Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi washauriwa kutumia Fursa zilizopo nchini Tanzania katika kukuza uchumi; https://youtu.be/vXXn4mQEcvw  

 Kongamano la kibiashara kati ya Tanzania na Rwanda kufanyika mapema mwezi ujao nchinin Rwanda ili kuruhusu fursa za biashara baina ya nchi hizo;https://youtu.be/FgIxqgpkVfg  
  
Halmashauri ya Ilala yawafukuza wafanyabiashara waliokua wanaendesha shughuli zao katika barabara ya mabasi ya mwendo kasi eneo la Msimbazi Kariakoo;https://youtu.be/6VX2IRkf9pc  

 Kiwanda cha sukari cha Kilombero mkoani Morogoro chatumia zaidi ya million 200 kusaidia miradi ya kijamii; https://youtu.be/UCZWZFb9N3Q  

 Mauzo ya vipande vya barafu kwa jili ya kuhifadhia samaki yaongezeka katika soko la Ferry; https://youtu.be/jG_9kQKD2WI  

 Kamati ya Uchaguzi ya TFF yawaagiza klabu ya Yanga kufanya uchaguzi Juni 2 mwaka huu; https://youtu.be/quIfWjRxZVI  
  
Serengeti Boys yaanza mazoezi kujiandaa na mashindano maalumu ya vijana nchini India; https://youtu.be/kAL2V3Vo4k8  

 Chama cha soka mkoani Ruvuma FARU chaanzisha program ya kutafuta waamuzi kutoka shule za sekondari mjini Songea; https://youtu.be/5imfAXOsoPY  

Shindano la kumtafuta Miss Kilimanjaro lazinduliwa rasmi huku likiambatana na kauli mbiu ya Utunzaji wa Mazingira; https://youtu.be/CHQIQvziop8
  
Zaidi ya kaya 400 hazina sehemu ya kuishi kutokana na mvua ilionyesha na kusababisha mafuriko yalioharibu miundombinu na makazi ya wananchi mkoani Kilimanjaro.https://youtu.be/PKS2Hd3-KBQ

Wazazi wenye watoto wenye seli mundu wamelalamikia kusitishiwa huduma za bure kutoka hospitali ya taifa ya Muhimbili na kupangiwa kwenda hospitali zingine.https://youtu.be/xDR-nSj__8E

China imekubali kushirikiana na Tanzania kwenye ujenzi wa reli ya kati kwa kiwango cha kisasa ambapo zabuni zinatarajiwa kutangazwa hivi karibuni.https://youtu.be/xRSpqS1IBF4

Rais Magufuli amefanya uteuzi wa makatibu tawala wa mikoa ishirini na sita wakiwemo kumi wapya na wawili wamebadilishwa vituo vya kazi. https://youtu.be/Cf9oniYmlus   
  
Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kukita mizizi hapa nchini tangu ugonjwa huo ulipo ripotiwa kwa mara ya kwanza agosti mwaka 2015.https://youtu.be/84oOuqQrOH0  

Tume ya haki za binadamu na utawala bora kuadhimisha siku ya haki za maabusu afrika. https://youtu.be/LNw2wdCdNXc  
  
Zaidi ya wananchi 1000 wa kijiji cha Makao wilayani Meatu wametangaza rasmi mgogoro kati yao na mwekezaji wa pori la Makao ambayo ni kampuni ya Mwiba investiment. https://youtu.be/yW6ONmTZlrk  

Serikali imewataka wawekezaji wa ndani na nje kutumia fursa zilizopo ili kuzalisha malighafi hapa nchini. https://youtu.be/yW6ONmTZlrk  

 Wakazi wa eneo la Mlandizi wameaswa kuchangamkia fursa ya kuwepo na huduma za kibenki karibu walizopelekewa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom tofauti na zamani walipokuwa wakizifuata mbali na eneo hilo. https://youtu.be/_OHNTZaicV0    

 Kamati ya uchaguzi ya TFF imetangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa ndani wa viongozi wa Klabu ya yanga kuwa ni tarehe 5 june https://youtu.be/aocE9zyXor0  

Shirikisho la mpira wa miguu TFF linasubiria ripoti ya mwamuzi wa mchezo wa nusu fainali kati ya Coastal Union na Yanga uliolazimika kuahirishwa baada ya vikwazo mbalimbali. https://youtu.be/WLeRwYkv_v4  

Klabu ya Stand United imepania kuvunja uteja kwenye mchezo wa lala salama dhidi ya Mwadui FC. https://youtu.be/IoKDi59CYBU   
  
Usefu wa viwanja vya michezo kwenye shule ya Simba wa yuda Academy imekua changamoto ya kudidimiza vipaji vya michezo kwa wanafunzi. https://youtu.be/ZD2Y6-kEvlg

Mji mkuu wa Ivory Coast unajiandaa kuusafirisha mwili wa Papa Wemba kwa ajili ya maziko ya mwanamuziki huyo aliefariki kwa kuanguka jukwaani akitumbuiza.https://youtu.be/CJP8tZGRelk  

 Mchezaji wa Leicester city Mahrez kutoka Algeria amekua Mwafrika wa kwanza kutwaa tuzo ya mwaka ya chama cha wachezaji wa kulipwa PFA; https://youtu.be/mChNJPzAqcI

No comments:

Post a Comment