Wednesday, April 27, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Simu.tv: Serikali inatarajia kujenga vituo vya ukaguzi wa pamoja vitavyokagua magari makubwa yaendayo nje ya nchi kwa lengo la kurahisisha safari zinazofanywa na magari hayo na kupunguza vikwazo vya kiforodha. https://youtu.be/KUFzHG70f6Q
 Simu.tv: Rais wa jamhuri ya muungano ya Tanzania amewaapisha makatibu tawala wapya walioteuliwa na kuwapangia vituo vya kazi. https://youtu.be/od_GMjNL7_Q
 Simu.tv: Wakazi wa wilaya ya Mtwara wamehamasika zoezi la uchangiaji wa hiari wa miti ya mbao kwa ajili ya utengenezaji wa madawati. https://youtu.be/Ca5uh1VtKwE
 Simu.tv: Chuo cha maafisa kumbukumbu na taarifa za afya kinakabiliwa na upungufu wa wataalamu nchini huku kukiwa na chuo kimoja tu cha KCMC kilichopo mkoani Kilimanjaro. https://youtu.be/eO0EA1_WUCk
 Simu.tv: Vodacom imesema inajivunia kuwa kampuni ya kwanza ya simu hapa nchini katika kuingiza mapato kwa nchi huku ikiwa imechangia zaidi ya bilioni tatu kwenye pato la taifa. https://youtu.be/fGcjp6ZuNcY
 Simu.tv: Kufuatia ushindi wa magoli mawili kwa moja ilioupata timu ya Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mwa ligi na kuwaacha watani wao wa jadi Simba.https://youtu.be/VVJ_-xpJvCA
 Simu.tv: Azam FC imeipita Simba FC kweye msimamo wa ligi kuu baada kushinda mchezo wake dhidi ya Majimaji.https://youtu.be/e_3K1dRzxGM
 Simu.tv: Mashabiki wa soka mjini Shinyanga walitaka shirikisho la mpira wa miguu kubadili uwanja wa mchezo kati ya Mwadui na Stand United ambao ni watani wa jadi.https://youtu.be/BJKn4wPqcxE
 Chama cha Mad-J nchini wameandaa tamasha la kuadhimisha siku ya madansa duniani litakalo fanyika tarehe 29 april. https://youtu.be/pHjJcfCCZrA
 Simu.tv: Japan kupitia kamati yake ya maandalizi imetambulisha nembo itakayotumika kwenye mashindano ya ulympic2020. https://youtu.be/p_sBxG0Z3yc
Simu.tv: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka maafisa biashara wote nchini kufanya msako katika maduka ili kubaini sukari iliyofichwa;https://youtu.be/Tazdj0YrFTs  
 Simu.tv: Mkuu wa wilaya ya Mh Lephy Gembe Kilombero asema wilaya yake sasa imejiandaa kwa mbadala wa usafiri endapo kivuko cha mto huo kitakuwa na hitilafu tena; https://youtu.be/29gSeott-40  
 Simu.tv: Wakazi wa kijiji cha Malangari wilayani Ileje walalamikia mradi wao wa maji kutofanya kazi licha ya mradi huo kugharimu fedha nyingi;https://youtu.be/biIcO5JJSv0  
 Simu.tv: Mama Maria Nyerere aipongeza serikali kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la kigamboni; https://youtu.be/4aSdgAPxN-8  
 Simu.tv: Jamii za wavuvi Mkoani Kagera hushindwa kuwapeleka watoto wao shule licha ya serikali kutangaza elimu bure badala huwalazimu kushiriki uvuvi;https://youtu.be/1FJDkI4jUlo  
 Simu.tv: Balozi Kiongozi John Kijazi amewataka makatibu tawala wapya walioapishwa kwenda kushughulikia migoogoro na sio kuanzisha mingine; https://youtu.be/rhPA-0nMqzw   
 Simu.tv: Mkuu wa mkoa wa Mara Mh Magessa Mulongo amewataka wakurugenzi wa halmashauri zote mkoani humo kuanzisha miradi itakayozalisha ajira kwa vijana;https://youtu.be/XFen32RPjY0  
 Simu.tv: SIDO yawashauri watanzania kulitumia shirika hilo kwa mambo mbalimbali ili kuifikia adhima ya serikali ya Tanzania ya viwanda; https://youtu.be/sc1zwsAyCkk  
 Simu.tv: DAWASCO yakusanya taarifa za wananchi wanaotaka kuunganishiwa maji ili kuwapunguzia asilimia 50; https://youtu.be/uI18SFWeEoA  
 Simu.tv: Kampuni ya Usafirishaji ya UDA/RT yawaomba wananchi kuzingatia sheria za barabarani ili kuepusha ajali zisizo na lazima; https://youtu.be/gkcyiY4LWSM  
 Simu.tv: Kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom imechangia jumla ya aslimia 2 kwa pato la taifa kwa muda wa miaka mitatu; https://youtu.be/6GdAsUGi_48  
 Simu.tv: Kampuni ya TURBO na ABB zafungua kalakana ya kukarabati injini za meli, treni na mitambo ya umeme; https://youtu.be/f_aSfiBaiFM  
 Simu.tv: Kamati ya Mashindano ya TFF Yawaruhusu Yanga kucheza fainali ya kombe la shirikisho sasa kuvaana na Azam katika Fainali; https://youtu.be/RJdgeuHIRN0
  Simu.tv: Yanga na Azam zimeshinda mechi zao hii leo baada ya Yanga kuwafunga Mgambo 2-1, huku Azam ikishinda kwa jumla ya mabao 2-0;https://youtu.be/nZ5mTmxpOWs   
 Simu.tv: Mashindano ya riadha kwa nchi za Afrika mashariki na kati kwa vijana chini ya miaka 19 kuanza kutimua vumbi ijumaa jijini Dar es salaam;https://youtu.be/v_nva3s_YUg  
 Simu.tv: Mabondia Kumbele na Mchanjo kupanda ulingoni Mei Mosi;https://youtu.be/yy9IE0chaj0   
 Simu.tv: Timu ya Stand United yaliomba Shirikisho la Mpira nchini TFF kuingilia kati juu ya mkanganyiko wa uwanja utakapofanyika mchezo baina ya timu yao na Mwadui;https://youtu.be/CZ7Q2VuieoY

No comments:

Post a Comment