Saturday, March 5, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMU.TV: Watanzania wameombwa kujenga utamaduni wa kujitangaza kupitia rasilimali zilizopo ili kuweza kuitangaza vema Tanzania. https://youtu.be/dGsNT-bMp0Q
 SIMU.TV: Imeelezwa kuwa kuongezeka kwa fursa za elimu na usawa kutasaidia kupandisha kiwango cha elimu nchini. https://youtu.be/VSfCI2DiR4I
 SIMU.TV: Rais wa Zanzibar Dkt Shein amesema kukosekana kwa mafunzo ya awali kwa watumishi kunachochea kukosekana kwa maadili. https://youtu.be/S7eJo0mJ_QQ
 SIMU.TV: Mwanasiansa mkongwe toka visiwani Zanzibar balozi Mhe. Hamid Ameir amefariki dunia. https://youtu.be/pgV1YEHBDz4
 SIMU.TV: Mh.Kassim Majaliwa aipa siku 10 halmashauri ya Meatu kuhakikisha wanafunzi waliofaulu darasa la 7 wanajiunga na kidato cha kwanza;https://youtu.be/impW37IlTJY    
 SIMU.TV: Mwalimu mkuu na walimu wengine 4 washikiliwa na jeshi la polisi kwa kujihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanafunzi; https://youtu.be/JunJl5FOL10 
 SIMU.TV: Polisi waja na mpango kabambe ya kupunguza mauwaji ya kinyama katika mkoa ambao ni kinara wa mauaji hayo; https://youtu.be/WrUSOj6dniw
 SIMU.TV: Mama afariki dunia  pamoja na watoto wake wachanga kwa kukosa damu katika kituo cha afya Sekou Toure Mwanza; https://youtu.be/LTWFIBag7Vs
 SIMU.TV: Rais Magufuli arejea Dar Es Salaam baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi mkoani Arusha; https://youtu.be/9oauapEtZLc  
 SIMU.TV: Rais Magufuli aungana na familia ya rais mstaafu Mh.Kikwete  Msoga Bagamoyo katika maziko ya kaka yake; https://youtu.be/QsyLww5A8Ic
 SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Paul Makonda azindua rasmi vitambulisho vya walimu vitakavyotumika kuwasafirisha walimu katika usafiri wa umma;https://youtu.be/5PRZ71KogEA
 SIMU.TV: Waziri mkuu Mh.Kassim Majaliwa ametoa agizo mkoani Simuyu na kuwataka wanafunzi waliofaulu kidato cha kwanza kuripoti shuleni haraka:https://youtu.be/h9NUNAU60N4
 SIMU.TV: Benki ya CRDB nchini Tanzania, yajivunia kutokana na mapinduzi waliyoyafanya katika sekta ya fedha kwa kuwafikia watanzania wengi:https://youtu.be/zLZMBHVzvzQ
 SIMU.TV: Kituo cha uwekezaji nchini TIC kinapongezwa kutokana na kuongoza katika kuwekeza kwa wingi katika sekta ya viwanda: https://youtu.be/BQAyHN1ZRQo
 SIMU.TV: Serikali imeeleza mikakati yake katika kupigania haki za wanawake nchini na kuhakikisha wanawake wanapata haki zao za msingi: https://youtu.be/sYtKfNk_ixA
 SIMU.TV: Waziri wa michezo Mh. Nape Nnauye, amewakumbusha vijana kuacha kukata tamaa ya maisha hasa pale wanapofeli katika elimu ya sekondari:https://youtu.be/A3Uf5msYMOc
 SIMU.TV: Kituo cha uwekezaji nchini TIC, kimepongezwa kutokana na kuongoza katika kuwekeza kwa wingi katika sekta ya viwanda: http://simu.tv/JblpiUt

No comments:

Post a Comment