Saturday, December 5, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

Serikali ya Ujerumani imeufagilia utendaji wa serikali ya awamu ya tano kuwa umedhalimia kutatua kero za wananchi; https://youtu.be/8uoyNifJWY4 

Serikali imewataka vijana nchini kujitokeza kwa wingi kufanya usafi ifakapo tarehe 9 katika kutekeleza agizo la Rais Magufuli;https://youtu.be/AIl5nUllVMw 

Wamiliki wa mabasi ya mwendo kasi wameshauriwa kuweka uratibu mzuri katika utozaji wa nauli kwa abiria ili kuondoa usumbufuhttps://youtu.be/cnx7SLReBK4 

Mamlaka ya mapato nchini TRA imewataka wadaiwa kodi kujitokeza mara moja kabla ya mda uliotolewa na Rais Magufuli haujakamilika; https://youtu.be/hQV_QPvlApE 

Wafanyabiashara wa mchele mkoani mbeya wamelalamikia kushuka kwa soko na kuitaka serikali kupunguza tozo ya ushuru.https://youtu.be/ANJnsfh2jIw 

Serikali imedhamiria kuweka mazingira bora ya uwekezaji ili kukuza wigo wa kukusanya mapato kwa ajili ya kuleta maendeleo nchini;https://youtu.be/N67Y4VYGm6I 

Serikali imedhamiria kuweka mazingira bora ya uwekezaji ili kukuza wigo wa kukusanya mapato kwa ajili ya kuleta maendeleo nchini;https://youtu.be/uko9a-CH4GU 

Inaelezwa kuwa watu wenye ulemavu mkoani Geita wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa shule pamoja na vifaa vya kujifunzia; https://youtu.be/WizB4Gy4P6E 

Wafanyabiashara wa sukari nchini wameomba serikali kuthibiti uingizaji holela wa sukari nchini toka nje ya nchini ili kulinda soko la sukari za ndani; https://youtu.be/UB4H7omelEA 

Shirikisho la soka duniani FIFA limesema limejipanga kufanya mageuzi makubwa ya kurekebisha shirikisho hilo;https://youtu.be/CZV8ZngIkUU 

Bodi ya ligi kuu nchini imevionya vilabu,mashabiki pamoja na viongozi watakaosababisha vurugu uwanjanihttps://youtu.be/IdoDRa1cqR8  

Bodi ya ligi kuu nchini imevionya vilabu,mashabiki pamoja na viongozi watakaosababisha vurugu uwanjani;https://youtu.be/28POnP3phF8 

Wanyama saba aina ya Mbogo wamekufa papo hapo na mmoja kujeruhiwa baada ya kugongwa na gari kati kati ya hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro;https://youtu.be/OLmNBu9ElEE J

eshi la polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kufanya vitendo vya uharamia katika ziwa Victoria; https://youtu.be/ssqodPOB_qI 

Zoezi la bomoa bomoa nyumba zilizojengwa ndani ya hifadhi ya msitu limeanza  usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro.https://youtu.be/I_4V-MNxKvU 

Shirika la umeme nchini TANESCO limesema bado lipo katika mkakati wa kuagiza nguzo za umeme toka nje ya nchi ili kukidhi mahitaji kutokana na kampuni ya ndani kushindwa kuzalisha nguzo zenye ubora.https://youtu.be/LrqDcVWpPSY

 Fahamu zaidi kuhusu wizi wa mtandao unaotumika katika kuiba pesa ndani ya ATM hapa dunia. https://youtu.be/EULsqW3e3XQ 

Licha ya juhudi ya serikali kuendeleza kilimo hapa nchini bado wakulima wanakabiliwa na changamoto ya kodi ya viafaa na pembejeo https://youtu.be/hKJO81FgMEshttps://youtu.be/4VCJnrc4b0ETBC 

limekabidhi msaada kwa mtoto Swiraji Msuya kutoka kwa wasamaria wema waliochangia kumsaidia mtoto huyo mwenye ulemavu wa viungo;   Wakazi wa kijiji cha Msarikie wilayani Moshi wamelalamikia ukosefu wa watoa huduma za afya kijijini hapo;  https://youtu.be/Hbs_cG4xFvY 

Wafanyabiashara nchini wametakiwa kuzingatia kanuni na sheria za biashara ili kuiwezesha serikali kukusanya mapato ya kutosha; https://youtu.be/M5gdCZIz3C0

No comments:

Post a Comment