Sunday, September 27, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Tume ya taifa ya uchaguzi yasisitiza haifungamani na upande wowote wa chama cha siasa na wala haijawahi shinikizwa katika utendaji wake.https://youtu.be/XEJd9hv1tng

Mwili wa waziri Celina Kombani wawasili nchini ukitokea nchini India baada ya kufariki nchini humo wakati akipatiwa matibabuhttps://youtu.be/Hbeq4EMmhHI

Basi la kampuni ya Tashirif lagongana na gari dogo aina ya Nisan Patrol na kupelekea kifo cha dereva wa basi hilo baada ya kupinduka.https://youtu.be/rMgLhHWUlWk

Basi la kampuni ya City boy lagonga na kuua watu 3 mkoani Singida kwa kile kilichoelezwa kuwa ni mwendo kasi wa basi hilo. http://simu.tv/jplHb8thttps://youtu.be/Fzm1rha0pL8

Mwenyekiti wa tume ya taifa ya uchaguzi NEC awataka viongozi wa kisiasa nchini kuchunga kauli zao ili kuepusha vitendo vya uvunjifu wa amani.https://youtu.be/ysY_-Y8CPY0

Mgombea mwenza wa CCM bi Samia Suluhu awataka wanawake nchini kutumia nafasi yao kama turufu ya ushindi katika uchaguzi ujao.https://youtu.be/R7NCJepCld4

Basi la kampuni ya Tashirif lagongana na gari dogo aina ya Nisan Patrol na kupelekea kifo cha dereva wa basi hilo baada ya kupinduka.https://youtu.be/rMgLhHWUlWk

Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli aendelea na kampeni zake mkoani Shinyanga na kuahidi kujenga chuo kikuu cha madini.https://youtu.be/dc5_zKXvM30

Timu ya Yanga ya Dar es salaam imefanikiwa kufuta uteja kwa watani wake wa jadi Simba baada ya kuibomoa kwa ushindi wa goli 2 kwa 0.https://youtu.be/DpKHGfNZVbs

Mgombea uraisi wa Chadema na Ukawa aendelea na kampeni zake katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro na kuhaidi kutatua kero mbalimbali.https://youtu.be/NGZUUWRvJJ8

Kituo cha sheria na haki za binadamu nchini LHRC chabainisha asilimia 60 ya uvunjifu wa amani hufanywa na vyombo vya dola wakati asilimia 40 hufanywa na wananchi wenyewe.https://youtu.be/dUv9eVQxPq0

Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa yakanusha taarifa zilizo zagaa mitandaoni zikidai mkuu wa majeshi yu mahututi.https://youtu.be/8oA1z1kOHGY

Polisi mkoani Dodoma inamshikilia mgombea ubunge wa Chadema na wafuasi wake kwa kosa la kufanya maadamano bila kibalihttps://youtu.be/GXaRcJbzdhM

No comments:

Post a Comment