Wednesday, September 2, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI

Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli, Ahaidi kuborsha na kuinua zao la Korosho baada ya kuwahutubia wana Mtwara.http://youtu.be/7n81Qyb07qk 

 Makamo wa raisi Dr. Bilali,awataka wataalamu wa manunuzi ya umma Afrika Mashariki kuwa lugha moja ili kuweka uwazi.http://youtu.be/b81gZ_ssffA    

Chama cha Chauma chazindua kampeni zake za uraisi huku viongozi wajuu wa chama hicho wakihaidi tumaini jipya kwa watanzania.http://youtu.be/jL-oBZnqVbo

 Raisi wa Zanzibar asema kuna umuhimu mkubwa wa kuenzi na kutunza kumbukumbu ya mnara wa miaka 50 ya uhuru.http://youtu.be/jyMmlY4KA70

Wanahabari nchini waadhimisha kumbukumbu ya kifo cha mwandishi wa habari Daudi Mwangosi huku rai mbalimbali zikitolewa


Mfanya biashara maarufu nchini Rostam Azizi ajibu tuhuma za kumtishia maisha Dr.Slaa huku akimtaka Dr.Slaa kutoa ushahidi na Kumwogopa Mungu

Mgombea uraisi wa CCM Dr.Magufuli, Ahaidi kuborsha na kuinua zao la Korosho baada ya kuwahutubia wana Mtwara. http://youtu.be/vrIE53O5D1o  

Mwenyekiti CHADEMA Freeman Mbowe amjia juu Dr.Slaa huku akisema chama hicho hakito yumba kwani ni mali ya wananchi.https://youtu.be/lHv7mcoYyLU   

Rangi zenye madini ya risasi zaelezwa kuwa na athari kubwa kwa watoto huku karibia nusu ya rangi za majumbani huwa na madini hayo.https://youtu.be/5tdy-omw2j4   

Masheikh wa Tanzania waliokuwa wametekwa Congo na waasi hatimaye waachiwa huru huku ikiripotiwa hakuna dhamana yeyote iliyo tolewa.https://youtu.be/XtTNyoj7toI

Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi Bi.Samia Suluhu anatarajiwa kuanza ziara ya kampeni katika majimbo yote ya Mkoa wa Dar es salaam.http://youtu.be/PMiBFTXmcsk 

 Baadhi ya vijana wanao muunga mkono Dr. Slaa mkoani Mwanza waandamana na huku wakichoma bendera za chadema na kuchana kadi za chama hicho.http://youtu.be/Et6Cg_xdN7I    

Vurugu kubwa zaibuka kwenye Mkutano wa CCM wilayani Mikumi baada ya wafuasi wa Ukawa kuvamia mkutano huo.http://youtu.be/XGWA_lKlUAQ 

 Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam asema idadi ya watu waliokufa kutokana ana kipindupindu yafikia 10 huku wagonjwa zaidi ya 600 wakilazwa.http://youtu.be/oJHxtjBC7LA  

 TANESCO na TEMKO zaungana ili kuongeza uwezo na juhudi za pamoja katika uangalizi wa uchaguzi na kampeni nchini.http://youtu.be/kJfK9Qtn0ZU   

Vijana takribani 100 waliokuwa wakiishi nchini Afrika Kusini kinyume cha sheria warejeshwa nchini.http://youtu.be/PZv-qf3iekU

No comments:

Post a Comment