Sunday, August 30, 2015

SIMU TV: HABARI ZA USIKU HUU

Polisi Mara yapiga marufuku kuendesha kampeni sehemu za starehe huku vikundi vya ulinzi vya vyama vikipigwa marufuku

Maambukizi ya malaria yaelezwa kupungua katika mwaka 2014,jambo linalofanikisha adhima ya serikali katik kupambana na ugonjwa huo. http://youtu.be/NVrEF7CCawA  

Dr Magufuli Awaga ahaidi kuongeza huduma za uhakika katika sekta ya maji na umeme   kwa wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kumlaki.

Mgombea wa urais kupitia TLP kimezindua kampeni zake leo Mkoani Kilimanjaro huku akiahidi kuelekeza nguvu kwenye uwekeza.

Mgombea uraisi kupitia ACT Wazalendo amesema kuwa serikali yake itatekeleza vipaumbele mbalimbali ikiwemo kuporesha kilimo,elimu na afya;http://youtu.be/c3HNBkGFCf8 

Mgombea mwenza Samia Suluhu aeleza kuwa cham chake kitawapa vijana mitaji ili kusuluhisha tatizo la ajira nchini kama ilivyobainishwa kwenye ilani ya CCM

waanza ujenzi wa nyumba za wakazi 342 walioathirika na mvua za mawe mapema mwaka huu Mkoani Shinyanga; http://youtu.be/4RyOArAmS8Y 

Baada ya kuchaguliwa kuwa kaimu katibu mkuu wa soka la wanawake nchi bi.Somoe Ngi’tu ameahidi kuendeleza soka hilo kwa kuweka michezo ya ligi;http://youtu.be/EjgvC6D13M4

Jeshi la polisi mkoani Kagera laeza Takwimu za za ajali barabarani kupungua ndani ya miezi 8 iliyopita ndani ya mkoa huo

Mgombea Uraisi UKAWA Mhe. Lowassa atinga mkoani Iringa Akibeba sera ya kuimarisha kilimo bora chenye tija kwa wakulima

Wananchi waendelea kulalamikia mfumo mibaya ya masoko na bei duni za mazao jambo linalokwamisha maendeleo ya kilimo.http://youtu.be/7X3aXP7xp2g

No comments:

Post a Comment