Sunday, August 9, 2015

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TV

SIMUtv: Kada wa Chama cha CCK Dr. Jofrey Malisa amechukua fomu ya Urais katika ofisi za NEC mapema Leo akiahidi kufanya kampeni za uhuru  http://youtu.be/Wtbt5OZvfx0
SIMUtv: Hatimaye mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Mh. Edward Lowassa anatarajia kuchukua fomu ya Urais siku ya Jumatatu akianzia ofisi za CUF. http://youtu.be/u8xYyGPXyT4
SIMUtv: Wanachama wa CCM Mkoa wa Rukwa wavamia ofisi za Chama hicho na kubwaga vitu nje kwa madai kuwa Mgombea wao amekatwa kura za maoni. http://youtu.be/fsQoQC1-pBo
SIMUtv: Kiongozi mkuu wa ACT Zitto Kabwe amesema suala la Richmond lisitumike kisiasa alipofanya mkutano wa hadhara Mkoani Morogoro. http://youtu.be/gqvDKHHf2p8
SIMUtv: Wakulima wa Mpunga Mkoani Mbeya wakili kunufaika na elimu ya kilimo iliyotolewa na Maafisa ugani Mkoani humo.  http://youtu.be/deMsxw2FZsw
SIMUtv: Wachimbaji wadogo wa madini Mkoani Singida waiomba serikali kuwapa ruzuku ili kufanya kazi kisasa zaidi na kupunguza utegemezi.  http://youtu.be/rgoJ3VRbY6w
SIMUtv: Baada ya sintofaham ya Prof. Lipumba kutokomea kusikojulikana hatimaye vyombo vya habari vyammulika aliko.  http://youtu.be/XOSq0a0FMgk
SIMUtv: Rais Kikwete asema Kilimo kina kabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo ukosefu wa masoko kwa wakulima   http://youtu.be/hu-GYMl7LmQ
SIMUtv: Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda amesema serikali ni lazima iwainue Wakulima wadogo kwa kuwapa pembejeo na teknolojia za kisasa.   http://youtu.be/ZYFU1EvyjM0
SIMUtv: Katibu wa uenezi CCM Nnape Nnauye amewataka Wanachama wa chama hicho kuwasilisha malalamiko yao juu ya kura za maoni katika ngazi husika.   http://youtu.be/lBqO34xM_Eo
SIMUtv:  Kufuatia tamko la madereva kufanya mgomo hapo kesho, serikali imejitokeza na kufanya mazungumzo ya kumaliza kero zao.  http://youtu.be/m0qTwxQ57lM
SIMUtv: Makamu wa Rais wa pili wa Zanzibar Baloz Seif Idd ameyataka maonyesho ya nanenane kuwa ya kimataifa ili kuendeleza sekta ya Kilimo.  http://youtu.be/sBcIvfb53_k
SIMUtv: Mamia ya Wanawake wa Kanisa la Baptist Nchini wakusanyika na kufanya maandamano pamoja na maombi ya kuliombea amani Taiafa.  http://youtu.be/7Pe6sKAL0D4
SIMUtv: Jeshi la polisi Mkoani Morogoro linawashikilia walinzi wawili na meneja wao kwa tuhuma za kutumia magogo kama bunduki katika kufanya kazi za ulinzi.   http://youtu.be/5x47ITcyhyU
SIMUtv: TANAPA imesema magonjwa ya milipuko kama ebola, vita vya wenyewe kwa wenyewe pamoja na ugaidi vimesababisha kupungua kwa Watalii.   http://youtu.be/0Hmp2pOw050
Shirika la petrol Nchini TPDC laanza kusafirisha gesi kutoa Mtwara kwenda Dar es salaam  http://youtu.be/Q6p4zzt0v2M
SIMUtv: Ligi kuu ya England yaanza kutimua vumbi leo huku Kocha wa Chelsea Jose Mournho akisaini mkataba mpya mpaka 2019  http://youtu.be/BkWWnb6P4rU
SIMUtv: Vijana wenye ndoto za kucheza soka la kulipwa Duniani wasema Academya ya Karume ni sehemu sahihi kwao katika mafanikio.  http://youtu.be/ocRrYyvcCOU

No comments:

Post a Comment