Thursday, July 23, 2015

SIMU TV: HABARI MBALIMBALI TOKA VITUO VYA TELEVISHENI

SIMUTV:DK. John Magufuli asema uwepo wa idadi kubwa ya wagombea kunaonesha kukua kwa demokrasia ndani ya Chama Cha Mapinduzi. http://youtu.be/Hylw4hR1ZTM 
SIMUTV:Watu 7 wa familia moja wauwawa kinyama mkoani Kagera baada ya kuchomwa moto na mali zao kuharibiwa vibaya.http://youtu.be/HkBlZpwcrdA
 SIMUTV:Viongozi wakuu wa CHADEMA taifa wasisitiza bado viongozi wa UKAWA wanafanya majadiliano ya kina ili kuweza kupata mgombea uraisi huku wakiwataka wananchi kuwa na subira http://youtu.be/6mwDik4pdYw
 SIMUTV:Diamond Platnumz ashauri wasanii kushirikiana ili tuweze kuleta tuzo nyingi za kimataifa nchini na sio kuchochea chuki ndani ya tasnia ya muziki. https://youtu.be/ZutDQMlxLCg
 SIMUTV:Maandalizi ya soka barani ulaya yaendelea huku timu kubwa zikicheza mechi za maandalizi katika nchi mbalimbali.https://youtu.be/6NiJPWdG_6c
 SIMUTV:Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine kipo katika mkakati wa kusamabaza mbegu bora pamoja na mafunzo kwa wakulima wadogo wa mikoani. https://youtu.be/tpQe3iHbhZY
 SIMUTV:TEA kwa kushirikiana na KCB Bank watoa madawati 1500 kwa shule 15 za mkoa wa Dar Es Salaam yenye thamani ya Mil 130. https://youtu.be/DqRb6L7eL1o
 SIMUTV:Amani Abeid Karume asema viongozi waafrika wamekua chachu ya machafuko barani humo kutokana na kushindwa kufuata mfumo wa kidemokrasia. https://youtu.be/wdc4MG_IFtw
 SIMUTV:TAKUKURU yawaonya wanasiasa Mkoani Iringa juu ya utoaji takrima katika kuwania nyadhifa mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea chaguzi. https://youtu.be/6YsSO38ov
 SIMUTV:Chama cha wamiliki wa Mabasi ya abiria nchini chaitaka serikali kurudisha kiwango cha zamani cha ushuru wa kuingiza mabasi nchini huku wakitishia mgomo nchi nzima. http://youtu.be/gUt7kUTTDwk
 SIMUTV:Wajasiria mali wanawake mkoani Mtwara wailalamikia halmashauri kwa kushindwa kuwapatia mikopo kutoka katika mfuko wa wanawake na vijana kama sheria inavyosema. http://youtu.be/H5o5_JsXQNw
 SIMUTV:Uchafu uliozingira kituo kikuu cha mabasi cha Nyegezi jijini Mwanza umekuwa kero kwa watumiaji wakiwemo wafanyabiashara na wasafiri . http://youtu.be/ho4DkVItyXI
 SIMUTV:Serikali yalalmikiwa kwa kushindwa kudhibiti wafanyabiashara wadogo wanapanga bidhaa zao barabarani jambo linalopekea usumbufu kwa wapita njia. http://youtu.be/7d1D1TDj26I
 SIMUTV:RITA yatoa siku 30 kabla ya kuzifungia taasisi zilizo sajiliwa hapa nchini na kushindwa kutoa taarifa zake za mwaka.http://youtu.be/8Hf6qVe4FF8
 SIMUTV:Msimu wa utalii nchini unaoanza mwezi wa 7 nchini kila mwaka waelezwa kudorora  huku ikihusishwa na masuala mbalimbali ikiwemo suala la uchaguzi mkuu 2015. http://youtu.be/NITvJLVQkSY
 SIMUTV:Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, chamtambulisha rasmi Esta Bulaya kama kada wa chama hicho baada ya kuhama CCM. http://youtu.be/tKHbQ94YIMk
 SIMUTV:Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, chamtambulisha rasmi Esta Bulaya kama kada wa chama hicho baada ya kuhama CCM. http://youtu.be/tKHbQ94YIMk
 SIMUTV:Wavuvi wa wilaya mpya ya Nyasa waiomba serikali ya wilaya hiyo kuwaletea vifaa vya kisasa ili waweze kupunguza vifo vya wavuvi http://youtu.be/TeeajKLBfM8
 SIMUTV:Wakulima watakiwa kutumia kwa wingi mboga mboga na matunda ili kuimarisha afya zao huku wakihimizwa kutumia njia ya kisasa katika shughuli zao. http://youtu.be/8xCWs664hGo
 SIMUTV:Viwango vya soko la fedha vyaendelea kua na hali ile ile huku dola bado ikiongoza na kufuatiwa na pound ya Uingereza.http://youtu.be/iB2_YSngGO4
 SIMUTV:Madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali kutoka Marekani wametoa huduma za matibabu bure katika hospitali ya mwananyamala Dar es salaam. http://youtu.be/yjinf2RgyCI
 SIMUTV:Mshindi wa tuzo ya mtumbuizaji bora Afrika Diamond awashukuru mashabiki na wadau wote wa muziki kwa ujumla.http://youtu.be/g-GIlirmR2w
 SIMUTV:Serikali imesema huduma za afya zinazotolewa nchini ni muhimu na zina lengo la kuinua afya kwa wananchi wote waishio mijijni na vijijini. https://youtu.be/SuwfL_eNn2Q
 SIMUTV:Waajiri pamoja na wafanyakazi waaswa kujiunga na mfuko wa sekta ya hifadhi ya jamii ili kuweza kupata fidia mara wapato ajali au ugonjwa. http://youtu.be/4vQUK39Qjps
 SIMUTV:Chuo kikuu cha St.Johns chaanzisha mikutano ya utafiti itakayo endeshwa kila mwaka kwa lengo la kukuza na kuendeleza shughuli za kitafiti nchini. http://youtu.be/alCwcLeYCwo

SIMUtv: Timu Ya Azam FC yaibuka na Ushindi baada ya Kuichapa Malakia ya Sudani bao mbili kwa bila katika uwanja wa Taifa Jijini Dar es salaam. https://youtu.be/QlJ15L012_4
SIMUtv: Mashabiki ya Klabu ya Gormahia Wamevitaka vilabu vya Simba, Yanga na Azam kufuta ndoto za kumsajili mshambuliaji Michael Olunga. http://youtu.be/pUkY5pbnjqU
SIMUtv: Jeshi la Polisi mkoani Pwani limekamata Majambazi 26 mabomu na Bunduki za jadi katika operesheni iliyofanywa kwa Mwezi Mmoja. http://youtu.be/ANQDQwEcGWI
SIMUtv: Wakulima wa ngano na shairi Mkoani Manyara waiomba Serikali kuwapatia  zana za kilimo ili kuongeza  uzalishaji wa mazao hayo; http://youtu.be/oD8YLwIRCcY
SIMUtv: Wakazi wa mkoa wa Arusha waiomba serikali kuingilia kati mgogoro wa ardhi baina yao na Kanisa Mkoani humo;http://youtu.be/F0fmJf4I-VQ
SIMUtv: Katika hekaheka za uchaguzi nchini, chama cha  ACT wazalendo chasimamisha mgombea mwanamke.http://youtu.be/XdrzE1rXUAI
SIMUtv: Tume ya uchaguzi NEC yaanza rasmi zoezi la uandikishaji katika daftari la kudumu Jijiji Dar Es Salaam;http://youtu.be/p1NYrdzZR9M
SIMUtv: Mbunge wa Dodoma hayati Mh.Mariam Salum Mfaki aliyefariki jana atarajiwa kuzikwa leo eneo la Miuji Mkoani Dodoma.http://youtu.be/xY8fO7LF51c
SIMUtv: Kituo cha Sheria na haki za binadamu chatoa ushauri kwa  Serikali kuiruhusu asasi za kisheria kutoa  elimu ya uraia kwa wancnhi nchini, http://youtu.be/-tNHMxpAz9c
Mijadala.
SIMUtv: Shirika la Posta ni Taasisi inayoshughulika na usafirishaji wa barua, ungana nasi ufahamu Shirika la Posta katika maendeleo ya Taifa. http://youtu.be/ZWtA1Fkk6IU
SIMUtv: Fahamu juu ya umuhimu wa Usimamizi na upimaji wa Ardhi katika maeneo ya makazi ya wananchi, Ungana nasi hapa ujifunze zaidi. http://youtu.be/vhfUCM6U09Q
SIMUtv; Je mashindano ya kombe la Kagame yana Tija gani katika nchi za Afrika mashariki na kati? Usisite kubofya hapa kujua mengi. http://youtu.be/NUPb2zGXTt8
SIMUtv: Kuna Wasanii Chipukizi Wengi wanajikita katika ulimwengu wa mziki katika kujipatia kipato, Ingia hapa utambue mbio za msanii huyu. http://youtu.be/O49_L11xo7s

No comments:

Post a Comment