Wednesday, June 24, 2015

TRA yakutana na Baraza la Maaskofu Tanzania Kuijadili sheria mpya ya Kodi

Afisa Mwandamizi Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose Mahendeka akiwasilisha Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014 kwa viongozi wa Baraza la Maaskofu Tanzania na kuwaeleza jinsi ilivyoziongelea jinsi ilivyozieleza Taasisi za Dini hasa katika masuala ya ulipaji kodi, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Viongozi wa Dini wakimsikiliza Bi. Rose Mahendeka alipokuwa anawasilisha Taarifa ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Askofu Mkuu Paul Ruzoka wa Jimbo la Tabora akichangia kwenye moja ya maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Father Ludovick Minde wa Jimbo la Kahama akichangia kwenye moja ya maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Father Longino Rutagwelera wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino tawi la Mtwara akichangia kwenye moja ya maeneo ya Sheria mpya ya Kodi ya ongezeko la Thamani ya mwaka 2014, wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania Fr. Raymond Saba akiongea na wajumbe wa Baraza hilo waliohudhuria mkutano huo uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mwandamizi Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bi. Rose Mahendeka akiwaeleza jambo wajumbe wa baraza la Maaskofu Tanzania wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Na Hassan Silayo-MAELEZO

No comments:

Post a Comment