Sunday, June 28, 2015

RAIS KIKWETE AWAVISHA VYEO VYA MRAKIBU MSAIDIZI WAHITIMU 104 WA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR ES SALAAM

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja  katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe.
 
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naWaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe  katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Chuo  cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick, Jaji Kiongozi  Mhe Shaaban Ali Lila  na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini  Sylvester Ambokile
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) Ernest Mangu na Kamanda wa Jeshi la Ardhini Meja Jenerali Salum Kijuu
 Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride liloandaliwa kwa ajili yake na wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza kabla ya kuyafunga mafunzo ya Cheo cha Mrakibu Msaidizi yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga jijini Dar es Salaam. Rais Kikwete aliyafunga mafunzo hayo ambayo yalienda sambamba na Siku ya Magereza ambapo alikagua bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na jeshi hilo nchini.

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima  katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa kukagua kikosi cha Brass Band   katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua kikosi cha Brass Band   katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa baada ya kugagua gwaride la heshima  katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
Sehemu ya wanahabari raia na wanajeshi wakirekodi tukio hilo  katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kufunga mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo. Maafisa 104 wa kozi hiyo walihitimu mafunzo hayo na kuvishwa vyeo hivyo.
 Wahitimu bora na mwakilishi wa wahitimu atayevalishwa cheo kwa niaba yao wakisonga mbele
 Wahitimu bora na mwakilishi wa wahitimu atayevalishwa cheo kwa niaba yao wakipiga saluti kwa ukakamavu
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mwanafunzi aliyefanya vizuri zaidi katika masomo ya darasani Mrakibu Msaidizi Saidi Jacob Seni
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mwanafunzi aliyefanya vizuri zaidi katika nidhamu Mrakibu Msaidizi Bakari Mohamed Ahmed
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti Mwanafunzi Mrakibu Msaidizi Amina Juma Lidenge ambaye pia anawakilisha wahitimu wote kupokea cheo
  Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijianda kumvika cheo Mrakibu Msaidizi Amina Juma Lidenge
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akimvisha mhitimu Amina Lidenge, Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Magereza kwa niaba ya wenzake 104 waliomaliza mafunzo hayo katika Chuo cha Maafisa wa Jeshi hilo, Ukonga jijini Dar es Salaam
 Sehemu ya maafisa waandamizi na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
 Sehemu ya maafisa waandamizi kutoka nchi mbalimbali na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
 Makamishna Jenerali wastaafu Nicas Banzi na Alhaj Jumanne Mangara wakiwa miongoni mwa waalikwa 
 Sehemu ya maafisa waandamizi kutoka nchi mbalimbali na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
 Sehemu ya maafisa waandamizi kutoka nchi mbalimbali na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
 Sehemu ya maafisa waandamizi na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
 Sehemu ya maafisa waandamizi kwenye sherehe hizo
 Sehemu ya wastaafu wa Jeshi la Magereza, maafisa waandamizi na wageni waalikwa kwenye sherehe hizo
 Maafisa waandamizi  waalikwa kutoka vikosi mbalimbali
 Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi  waalikwa kutoka vikosi mbalimbali
 Makamishna Jenerali wa Magereza wa nchi za SADC
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick, Jaji Kiongozi  Mhe Shaaban Ali Lila  na Kamishna Mkuu wa Idara ya Uhamiaji nchini  Sylvester Ambokile
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini (CGP) wakipokea saluti kutoka kwa kamandi ya wahitimu katika Viwanja vya Chuo cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam,
Gwaride la Wahitimu wa mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo.

Sehemu ya Wahitimu wa mafunzo ya uofisa wa Cheo cha Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo.
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
  Maafisa waandamizi wa Jeshi la Magereza
 Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza
  Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza
  Makamanda wa mfano wa Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza la enzi za mkoloni
 Mfano wa Gwaride la vikosi vya Jeshi la Magereza la enzi za mkoloni
 Maonesho ya ukakamavu na kujilinda bila kutumia silaha 
 Askari wanamama nao wako fiti 
 Tofali linavunjiwa kichwani kwa askari ambaye chini yake kuna kisu
Mkuu wa Chuo cha Maafisa Magereza akisoma risala
 Rais Kikwete akipokea Risala kutoka kwa Mkuu wa Chuo  cha Maafisa Magereza, Ukonga jijini Dar es Salaam, 
 Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja akihutubia hadhara hiyo
  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundib(NACTE)bDkt. Adolf Rutayuga akielezea machache kuhusu kukabidhiwa ithabati kwa Chuo cha Kurekebisha Tabia cha Magereza
 Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundib(NACTE)bDkt. Adolf Rutayuga akimkabidhi Waziri Chikawe  ithabati kwa Chuo cha Kurekebisha Tabia cha Magereza
  Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya ufundib(NACTE)bDkt. Adolf Rutayuga akimkabidhi Waziri Chikawe  ithabati kwa Chuo cha Kurekebisha Tabia cha Magereza
 Rais Kikwete akimkabidhi idhibadi ya NECTA Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja  
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe (kulia), akimkaribisha Rais Jakaya Kikwete  baada ya kukagua gwaride la wahitimu 104 wa kozi ya Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Magereza kabla ya Rais huyo kuyafunga mafunzo hayo
 
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Askari na Maafisa wa Jeshi la Magereza, wageni waalikwa na wananchi wakati akiyafunga mafunzo ya Uongozi wa Ngazi za Juu wa Jeshi hilo na kuwatunukia vyeo vya Warakibu Wasaidizi 104. Katika hotuba yake Rais Kikwete aliwapongeza wahitimu hao kwa kutunukiwa vyeo hivyo, na pia aliwataka maafisa wa Jeshi hilo wafuate sheria kwa wawatendea haki Mahabusu na Wafungwa katika magereza nchini.
 Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Ngazi za Juu wa Jeshi la Magereza wakisikiliza hotuba ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete

 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea kuhutubia
 Mshereheshaji wa sherehe hizo
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu wageni kutoka nje ya nchi na wahitimu
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na wahitimu
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu wageni kutoka nje ya nchi na wahitimu
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na meza kuu wageni kutoka nje ya nchi na wahitimu
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja Makamishna Jenerali wa nchi za SADC na Kenya
 Rais Kikwete akisalimiana na watoto wa askari
 Sherehe hizo zilienda sambamba na Siku ya Magereza ambapo  Rais Kikwete alikagua bidhaa maonesho ya shughuli mbalimbali na bidhaa zinazozalishwa na jeshi hilo nchini.
 Rais Kikwete akikagua idara ya uhandisi wa majengo
 Rais Kikwete akikagua idara ya uhandisi wa majengo
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakiwa katika baadhi ya samani zinazotengenezwa na jeshi hilo
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakipata maelezo ya  samani zinazotengenezwa na jeshi hilo
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakipata maelezo ya SACCOS ya Jeshi hilo
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamishna Jenerali wastaafu 
 Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri Chikawe  na Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini CGP John Casmir Minja wakiwa na Makamishna Jenerali wastaafu
 Rais Kikwete katika banda la PSPF
 Rais Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu juu ya shughuli za mfuko huo hapo jeshi la Magereza
 Rais Kikwete akiongea na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
Rais Kikwete akiangalia vikombe vya ubingwa wa michezo mbalimbali vilivyopata kunyakuliwa na Jeshi la Magereza

2 comments: