Jumuiya ya Wanafunzi Watanzania Wanaosoma Wuhan-China (WUTASA) imefanya sherehe ya kuwaaga wenzao waliomaliza masomo yao.
Sherehe hiyo ilihudhuriwa pia na Wanajeshi wa Jeshi la Wanachi (JWTZ) Kikosi cha Maji wanaosoma kozi fupi za uhandisi katika chuo cha jeshi cha uhandisi kilichopo Jijini Wuhan.
Pongezi kwa waliohitimu sasa warudi kulitumikia taifa letu.
ReplyDelete