Tuesday, April 21, 2015

KAMPUNI ZA SIMU ZASAINI MIKATABA NA MFUKO WA MAWASILIANO KWA WOTE(UCSAF)

Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (kushoto) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa kwanza kulia) akisikiliza kwa makini wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Pamoja naye ni Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya MIC Tanzania (Tigo) Cecilia Tiano (wa pili kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura (wa tatu kutoka kulia).
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawamo pichani) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.
Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa kwanza kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa MIC Tanzania (Tigo), Cecilia Tiano (wa pili kulia) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura .
Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kulia) akisaini mkataba wa miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi katika hafla iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam. Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma,wengine ni mwakilishi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania (wa kwanza kulia), Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi ya MIC Tanzania (Tigo) Cecilia Tiano (wa pili kutoka kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga (wa tatu kulia).
Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Mawasialiano Prof. Makame Mbarawa (wa kwanza kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga (wa pili kutoka kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya Tanzania (TTCL) Kamugisha Kazaura (wa tatu kutoka kushoto) na Ofisa Mkuu wa Idara ya Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Georgia Mutagahywa (kulia) wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kutia saini mikataba ya miradi miwili ya upelekaji mawasiliano vijijini awamu ya 2A kati ya Mfuko Wa Mawasiliano Kwa Wote (UCSAF)na kampuni za simu za mkononi uliofanyika leo jijini Dar es Salaam,Miradi hiyo ni upelekaji wa mawasiliano mipakani na maeneo maalum na mradi wa kuunganisha Intaneti kwenye Shule za Umma.

No comments:

Post a Comment