Wednesday, December 3, 2014

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YAPOKEA MSAADA WA PIKIPIKI 10 TOKA DALBIT PETROLIUM

Kamishina wa oporesheni na mafunzo wa jeshi la polisi, Paulo Chagonja akisisitiza jambo wakati wa hafla ya kupokea msaada wa pikipiki 10 aina ya boxes kutoka kwa Kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium ya nchini kwa ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama barabarani kupambana na swala zima la usalama barabarani.Katikati ni Mwenyekiti wa kampuni Hum Dalbit Petrolium Humprey Kariuki na Kushoto ni Mkurugenzi wa maswala ya Uhusiano wa Kampuni hiyo Magaret Mbaka.
Baadhi ya askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiangalia pikipiki aina ya boxes kati ya 10 zilizotolewa msaada na kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini kwa ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama barabarani kupambana na swala zima la usalama barabarani.Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya jeshi jijini Dar es Salaam
Kamishina wa oporesheni na mafunzo wa jeshi la polisi Paulo Chagonja akijaribu kuendesha moja ya pikipiki aina ya boxes kati ya 10 zilizotolewa msaada na kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini kwa ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama barabarani kwa kupambana na waalifu wa makosa mbalimbali.Kulia aliyevaa koti ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo Humprey Kariuki.
Mwenyekiti wa Kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini Hamphrey Kariuki akipongezana na w Kamishina wa oporesheni na mafunzo wa jeshi la polisi nchini Paulo Chagonja baada ya hafla ya kukabidhiana msaada wa pikipiki 10 aina ya boxes kwa jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani kuisha. Wapili kutoka kushoto ni Mkuu wa Usalama barabarani Mohammed Mpinga hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya jeshi jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi ya askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiangalia msaasa wa pikipiki 10 aina ya boxes zilizotolewa na kampuni ya mafuta ya Dalbit Petrolium nchini kwa ajilia ya kusaidia kikosi cha usalama barabarani ilikupambana na kubaini makosa mbalimbali,Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya jeshi jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment