Saturday, December 20, 2014

MAHAFALI YA 10 CHUO KIKUU CHA TAIFA CHA ZANZIBAR (SUZA) LEO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai mara baada ya kuwasili  katika ya Kampasi ya Chuo Tunguu kufungua Mahfali ya 10 yaliyofanyika chuoni hapo leo Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya wanafunzi waliohitimu  mafunzo yao katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano  katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Baadhi ya walimu katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano  katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein
Wajumbe wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katika maandamano yaliyoandaliwa rasmi katika mahfali ya 10 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo ambapo mgeni rasmi akiwa .Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein
Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Said Bakari Jecha (kushtoto) akifuatana na Viongozi akiwemo Mkuu wa Chuo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakati wa maandamano katika mahfali ya 10 ya Chuo Hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiteta na Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai wakati wa maandamano katika mahfali ya 10 ya Chuo Hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (Suza) Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) Makamu Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai,Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Ali Juma Shamuhuna na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Dk.Idriss Muslim Hija  wakisimama  wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa  katika mahfali ya 10 ya Chuo  yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Wananchi  ambao wamefika katika viwanja vya mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakishuhudia wahitimu wanapotunukiwa Vyeti,Stashahada na Shahada na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) leo ambae ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) 
Baadhi ya wahitimu katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) waliotunukiwa  Stashahada ya Sayansi ya Kompyuta wakiwa katika viwanja vya Mahfali hayo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja   mgeni rasmi akiwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) .
Viongozi waliohudhuria katika Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kutoka kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dk.Mwinyihaji Makame Mwadini,Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahya Mzee na Mkuu wa  Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi Khamis
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae pia Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)alipokuwa akiwatunuku Vyeti,Stashahada na  Shahada  kwa wahitimu wa fani mbali mbali katika Mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto) Makamu Mkuu wa chuo Prof Idriss Ahamada Rai

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)  akitoa  hutuba yake katika mahfali ya 10 ya chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Hamad Abdalla Nassor akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimkabidhi zawadi Najat Zahoro Said akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora waliofanya vizuri zaidi katika masomo yao wakati wa mahfali ya 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika kampasi ya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja
  Mwanaidi Ali Faki na Ngano Suleiman Faki mbele ni wanafunzi waliohitimu mafunzo ya fani ya Kiswahili na Elimu wakiwa katika mahfali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Tifa cha Zanzibar (SUZA) yaliyofanyika leo katika viwanja vya kampasiya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiwa mgeni rasmiRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
Baadhi ya wahitimu wa mafunzo ya Sayansi na Elimu katika chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakiwa katikamahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja  akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambae ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA)
Waziri wa Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana wanawake na Watoto Bi Zainab Omar Mohammed akimpongeza mwanafunzi Najat Zahor Said kwa ufaulu wake mzuri katika masomo akiwa darasani katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wakati wa mahfali ya 10 yaliyofayika chuoni hapo Kampasi ya TunguuWilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Ungaja leo ,

No comments:

Post a Comment