| Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi na viongozi wengine wa shule hiyo wakati alipotembelea mazingira ya shule. |
| Mbunge wa Kuteuliwa James Mbatia akiongozana na mkuu wa Shule ya sekondari ya Bishop Moshi, Sophia Mushi akitembelea bweni la wasichana katika shule hiyo. |
| Mh Mbatia akizungumza jambo mara baada ya kuingia katika chumba maalumu cha kujifunzia Komputa na kukuta bado shule hiyo wanatumia komputa zilizopitwa wakati. |
| Mh Mbatia akitizama baadhi ya vitabu katika maktaba ya shule hiyo,kulia ni mkuu wa shule hiyo Sophia Mushi. |
| Darasala la Komputa. |
| Mh Mbatia akitizama moja ya kifaa kilichopo katika maabara ya shule hiyo kijulikanacho kama Fume Chamber ambacho maabara nyingi za shule ni nadra kupatikana. |
| Mh Mbatia akitizama Bweni la Wavulana baada ya kutembelea shuleni hapo. |
Na Dixon Busagaga wa
Globu ya Jamii
Kanda ya kaskazini,
No comments:
Post a Comment