|
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi. |
|
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade
Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi jezi kaimu kamanda wa
Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi
Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani
Ng'anzi. |
|
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade
Investment Ltd,Roselian Laizer akimkabidhi Hundi ya kiasi cha shilingi
milioni moja Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP Moita Koka
kwa ajili ya timu ya Polisi Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la
tatu ngazi ya mkoa.kulia ni Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO)
,Ramadhani Ng'anzi akishuhudia makabidhiano hayo. |
|
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade
Investment Ltd,Roselian Laizer akikabidhi Mpira kaimu kamanda wa
Polisi mkoa wa Kilimanjaro Moita Koka kwa ajili ya timu ya Polisi
Kilimanjaro inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa.kulia ni
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya jinai (RCO) ,Ramadhani Ng'anzi
akishuhudia makabidhiano hayo. |
|
Mwakilishi wa Mauzo wa Kampuni ya Megatrade
Investment Ltd,Roselian Laizer akizungumza mara baada ya kukabidhi
vifaa vya michezo pamoja na Hundi kwa uongozi wa jeshi la polisi mkoa
wa Kilimanjaro kwa ajili ya maandalizi ya timu ya Polisi Kilimanjaro
inayoshiriki ligi daraja la tatu ngazi ya mkoa. |
|
Baadhi ya viongozi wa timu ya Polisi
Kilimanjaro na wawakilishi wa Kampuni ya Megatrade wakishuhudia
makabidhiano hayo. |
|
Kaimu kamanda mkoa wa Kilimanjaro Moita Koka
akizungumza mara baada ya kukabidhiwa msaada wa jezi pamoja na fedha
toka kampuni ya Megatrade Investment ya jijini
Arusha. |
|
Kaimu Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro
Moita Koka akikabidhi vifaa kwa nahoda wa timu ya Polisi ,Abdalah Amir
mara baada ya kukabidhiwa na kampuni ya Megatrade Investment ya jijini
Arusha. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
kanda ya kaskazini.
Maoni yangu kuhusu ethics za vyombo vya serikali.Ni makosa kabisa kwa kampuni,shirika la mtu binafsi kutoa zawadi wa Polisi ambacho ni chombo cha Dola.Huku ni kununua haki.Kesho kampuni ya Megatrade ikivunja sheria au kujiusisha katika biashara isiyo halali,italeta utata kwa polisi kuichukulia hatua za kisheria.Polisi ni chombo cha Dola na makampuni na mashirika binafsi yakae kando katika kutoa msaada.Polisi wawakilishe budget yao wizarani itakayo kuwa na sehemu ya mafungu ya michezo.Tunakwenda wapi watanzania??
ReplyDelete