| Bondia toka Aljeria,Djamel Dahou akionesha mikanda anayoshikilia,muda mchache kabla ya kupima uzito . |
| Bondia Said Yazidu wa Tanzania (aliyenyanyua mikono) na kulia kwake ni bondia Alibaba Ramadhan wakiajiandaa na zoezi la upimaji uzito. |
| Bondia ,Dahou wa Aljeria akiwa na baba yake mzazi (kulia) ambaye ndiye kocha wake pamoja na mjomba wake (shoto) kwake wakiwa wameshikilia mikanda ya Ubingwa anaoshikilia bondia huyo. |
| Promota Andrew George "Tyson"akionesha mkanda utakao gombaniwa kati ya Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou(Aljeria). |
| Bondia Alibaba Ramadhan akisalimia mashabiki wake. |
| Promota,Andrew George akitambulisha Bondia Alibaba Ramadhan(kulia) na Aleck Mwenda kutoka nchini Malawi(shoto) |
| Promota,Andrew George akitambulisha Bondia Said Yazidu(Tanzania) na Djamel Dahou toka Aljeria |
| Ni kama wanawaza"Takukarisha kwa KO wewe" |
| Bondia Aleck Mwenda(Malawi) akipima uzito. |
| Bondia Alibaba Ramadhan akipima uzito. |
| Promota akitambulisha mabondia. |
| "Utakaa mapema sana" |
| Bondia ,Djamel Dahou akipima uzito. |
| Bondia Said Yazidu akipima uzito. |
| "Mabondia ndio hawa hapa" |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini
No comments:
Post a Comment