| Baadhi ya wakazi wa kata ya Kilema Kusini wakishiriki katika zoezi la kufukua kaburi kwa ajili kutoa jeneza la marehemu Stephen Assey. |
| Umati wa wananchi waliofika katika zoezi la ufukuaji wa Kaburi wakishuhudia zoezi hilo. |
| Vijana waliokuwa wakifanya shuguli za kufukua kaburi na kisha kutoa jeneza lenye miwli wa marehemu Stephen Assey wakisafisha kwa majani jeneza hilo. |
| Viongozi wa Kijiji cha Masaera wakitizama jeneza ili kuhakikisha endapo upo mwili wa marehemu huyo. |
| Vijana wawili wakiwa wamebeba jeneza kwa ajili ya kupakia ndani ya gari la Polisi. |
| Jeneza lenye mwili wa Marehemu Assei likiwa ndani ya gari la Polisi likipelekwa hosptali ya Kilema kwa ajili ya kuhifadhiwa. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya
Jamii Kanda ya Kaskazini.
No comments:
Post a Comment