Saturday, August 23, 2014

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE WA UHURU AZINDUA MRADI WA TANKI LA MAJI MANISPAA YA MOSHI

Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA wakiwa katika eneo la Longuo A tayari kupokea Mwenge wa Uhuru. 
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi, MUWSA wakijaribu kupoza njaa kwa ndizi baada ya kungojea Mwenge kwa muda. 
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Shally Raymond akiteta jambo na Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Cyprian Luhemeja  wakati wakingojea ujio wa Mwenge.
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Shally Raymond akitoa maelekezo baada ya kuwanunulia ndizi wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi na Mazingira Mjini Moshi wakiongozwa na mkurugenzi wao Mhandisi Cyprian Luhemeja (wa kwanza)
Mkurugenzi wa MUWSA Mhandisi Cyprian Luhemej akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kufika katika eneo la Longuo ambako ulmezindua tanki la Maji.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi ,MUWSA wakishiriki kupokea Mwenge wa Uhuru ulipotembelea eneo hilo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa ,Rachel Kassanda akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi katika tanki la Maji la Longuo A.
Jiwe la Msingi katika tanki la Maji la MUWSA.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akifungua maji kuashiria kuanza kutumika kwa maji yanayotka katika tanki la Maji lililozinduliwa.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akibeba maji baada ya kuzinduliwa kwa tanki la Maji la Longuo A.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akimtwisha ndoo ya Maji Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi Shally Raymond.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akiotesha mti katika eneo lililopo Tanki la Maji la Longuo A.
Mkuu wa wilaya ya Mwanga Shaibu Ndemanga akiotesha mti katika eneo hilo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi  ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiotesha mti katika eneo hilo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Moshi ,Shaban Ntarambe akiotesha mti katika eneo hilo.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akiteta jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa MUWSA,Shally Raymond.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Rachel Kassanda akizungumza mara baada ya kuzindua tanki la Maji pamoja na uoteshaji wa miti katika eneo hilo .
Tanki la Maji lililozinduliwa.

Mkurugenzi wa MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akibeba Mwenge wa Uhuru,
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi akibeba mwenge wa Uhuru,
Mmoja wa wafanyakazi wa MUWSA kibeba Mwenge kwa niaba ya wenzake.
Wafanyakazi wa MUWSA wakapata fursa ya kupiga pucha na Mwenge wa Uhuru.
Mwenge wa Uhuru ukiendelea kukimbizwa katika maeneo mengine ya Mkoa wa Kilimajaro.
Na Dixon Busagaga wa Globu 
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

No comments:

Post a Comment