Saturday, July 5, 2014

WIZARA YA NISHATI NA MADINI YAENDELEA KUNG'ARA KWENYE MAONESHO YA SABASABA

 Mjiolojia Mkuu kutoka Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Bw. Momburi Philip akitoa elimu kwa  mwananchi aliyetembelea banda hilo.
 Mchambuzi wa Mifumo ya Kompyuta kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA) Bw. Omary Rwakyaya akitoa maelezo jinsi wakala huo unavyokagua migodi mikubwa ya  madini kwa mwananchi aliyetembelea banda la wakala huo
 Wataalamu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bi. Mwanaidi Ghasia na Sijaona Madicah wakitoa huduma kwa  wananchi waliotembelea banda hilo
 Mtaalamu kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) Mhandisi Henry Wabanhu akitoa maelezo jinsi mtambo wa kufua umeme kwa maji unavyofanya kazi
 Mmoja wa wananchi waliotembelea banda la Wizara ya Nishati na  Madini akitoa maoni yake 
 Mtaalamu kutoka  Tanzania Gemmological Centre (TGC) Bw. Prosper Tingo akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda la TANSORT
 Baadhi ya washiriki kutoka Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) na kampuni ya Max- Malipo wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya  kuanza kwa maonesho
Mjiolojia kutoka Idara ya Nishati Bw. Habass Ng’ulilapi akielezea sera ya nishati kwa wananchi waliotembelea banda la Wizara

No comments:

Post a Comment