Saturday, July 26, 2014

WASHIRIKI WARSHA YA MASHIRIKIANO YA TANAPA NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA KATIKA KUPAMBANA NA UHALIFU WA UNAOLENGA MALIASILI WATOA MICHANGO YAO KATIKA KUPAMBANA NA UJANGILI.

Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama .
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano.
Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla.
Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu Uhifadhi/Ulinzi wa Maliasili na Changamoto zake(Ujangili) na Mfumo wa Jeshi Usu.
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala.
Baadhi ya Washiriki wakichangia mada kuhusu Uhifadhi /Ulinzi wa Maliasili na Changamoto zake (Ujangili )na Mfumo wa Jeshi Usu.
Kamishina Mwandamizi wa Jeshi la Polisi ,SASP Gustavu Babile akitoa mada juu ya Mchango wa Jeshi la Polisi katika Ulinzi wa Maliasili.
Mhifadhi Mkuu Hifadhi za Taifa TANAPA,Nyamakumbati Mafuru akichangia mada juu ya Mchango wa Jeshi la Polisi katika Ulinzi wa Maliasili.
Mratibu wa Maradi wa SPANEST ,Godwili Ole Meng'ataki akichangia mada hiyo.
Mkuu wa Upelelezi mkoa wa Kilimanjaro RCO ,Ramadhan Ng'anzi akitoa ufafanuzi juu ya mambo mbalimbali yaliyochangiwa katika  mada iliyowasilishwa na Kamishna Mwandamizi wa Polisi SASP ,Gustavu Babile
Kaimu Mkuu wa Idara ya Wanayamapori Paul Sarakikya akichangia jambo wakati wa Warsha hiyo.
Baadhi ya Washiriki wakisilikiliza kwa umakini mkubwa wachangiaji katika mada iliyokuwa ikijadiliwa katika Warsha hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment